Nimekuwa nikifuatilia kesi ya Ndugu Mbowe na wenzake lakini mara nyingi Mawakili wa Serikali wakitaka kupinga hoja za Mawakili wa utetezi utasikia wakisema kuwa hoja hii HAINA MASHIKO.
Sasa nauliza je neno hili ni neno sahihi kwa matumizi yetu ya kila siku na ipo kwenye kamusi ya kiswahili?
Vinginevyo tutumie kiswahili sahihi katika shughuli zetu za kila siku.