shushushu VIP
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 4,799
- 4,312
ahaa yangu haujaionaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona nayo imo imoahaa yangu haujaionaa
Mkuu salama? Za miaka ile ? nimeukumbukaMkubwa nashukuru kwa kupenda avatar yangu ya zamani ile ilikuwa ya John Cena wa WWE niliitoa baada ya umri kusogea kidogo siunajua mieleka inapendwa na matineja? Anyway siku hizi niko via mobile nikiwa kwenye computer nitairudisha mzee. Kwa sasa nasikitika siwezi kuona za wengi kwa vile strictly via mobile.
HahahaAvatar inayonifurahisha kuliko zote humu ni ya Red Giant. Yaani kila nikiiona huwa najisikia burudaani sana. Kwenye hiyo avatar kuna vijamaa kama vitatu hivi vimevua suruali vinashindana kurusha makalio kwa spidi 24 hrs non stop.