Je Ni Avatar Gani unayoipenda JF?

Je Ni Avatar Gani unayoipenda JF?

ISIS hadi nimeanza kufuatilia mambo ya kale ya Misri.
 
Avatar inayonifurahisha kuliko zote humu ni ya Red Giant. Yaani kila nikiiona huwa najisikia burudaani sana. Kwenye hiyo avatar kuna vijamaa kama vitatu hivi vimevua suruali vinashindana kurusha makalio kwa spidi 24 hrs non stop.
 
Mkubwa nashukuru kwa kupenda avatar yangu ya zamani ile ilikuwa ya John Cena wa WWE niliitoa baada ya umri kusogea kidogo siunajua mieleka inapendwa na matineja? Anyway siku hizi niko via mobile nikiwa kwenye computer nitairudisha mzee. Kwa sasa nasikitika siwezi kuona za wengi kwa vile strictly via mobile.
Mkuu salama? Za miaka ile ? nimeukumbuka
 
Avatar inayonifurahisha kuliko zote humu ni ya Red Giant. Yaani kila nikiiona huwa najisikia burudaani sana. Kwenye hiyo avatar kuna vijamaa kama vitatu hivi vimevua suruali vinashindana kurusha makalio kwa spidi 24 hrs non stop.
Hahaha
 
Back
Top Bottom