Omba kibali cha kuuza silaha tuu halafu ufungue duka hapo.Biashara gani naweza kufanya katika fremu ndogo yakujibanza iliyoko barabarani karibu na mahakama?
Ushauri mzuriSteshenary, mgahawa, duka la vinywaji, tigo pesa, mpesa. N.b usiweke mtaji mkubwa.
Fuata ushauri huu mkuuSteshenary, mgahawa, duka la vinywaji, tigo pesa, mpesa. N.b usiweke mtaji mkubwa.
Fungua ofisi ya udalali isajili alafu omba uwe dalali wa hiyo mahakama, jitahidi uwe na kamtaji kaziadaBiashara gani naweza kufanya katika fremu ndogo yakujibanza iliyoko barabarani karibu na mahakama?
Maji,lesso,maandazi,supu,chai nkBiashara gani naweza kufanya katika fremu ndogo yakujibanza iliyoko barabarani karibu na mahakama?
1. Stationery, weka na huduma za kifedha (Mpesa na nduguze);Biashara gani naweza kufanya katika fremu ndogo yakujibanza iliyoko barabarani karibu na mahakama?