Msuli wa mbu
Senior Member
- May 4, 2021
- 146
- 485
Biashara inayo lipa ni kutumia brain tuu.
Ukiangalia katika biashara ulizo zitaja tapo juu zote ni biashara ambazo zina mamilionea walio wahi kutoboa kutokana na biashara hizo chakufanya chagua biashara moja wapo ya hizo harafu invest vitu hivi:
1. Time
2. Money
3. Tafuta location nzuri
4. Acha biashara ijiendeshe usiweke dhiki zako kwenye biashara
Cha mwisho deal na rotation Kama Leo unapata hela ya kula hakikisha kesho inaongezeka hata Kama kwa udogo kesho hela ya pango, utapata hela ya biashara ya ku backup biashara uliyonayo utapata hela ya kujenga na kununua ndinga pia.
Usidharau biashara simamia misingi ukisimaia misingi Unaweza kuuza maji kwenye visima, unaweza kuuza mawe migodini.
Huoni mvua inanyea chemchem.