Je, ni biashara ipi inalipa zaidi?

Je, ni biashara ipi inalipa zaidi?

Kuna
  • Restaurant
  • Saloon ya kike na ya kiume
  • Duka la nguo
  • Duka la nafaka
  • Bar
  • Duka la mangi

Katika biashara hizo ni ipi inalipa zaidi?
Kama una mtaji mkubwa na muda wa kutosha ni bora kuingia kwenye biashara ya nafaka kwa kufuata mashambani au ufugaji wa nguruwe/mbuzi, kwa mbuzi unaweza kununua kutoka kwa wafugaji hasa kipindi cha ukame na bei huwa chini, unawalisha na kuwahudumia vizuri baada ya muda unasafrisha kwenda miji mikubwa kama DSM, Mwanza na Arusha.
 
Binafsi nishaandaa andiko la kuanza ufugaji wa nguruwe kwa kiwango kikubwa ili kwa siku za baadae nije kufungua kiwanda cha nyama ya nguruwe. Kwa sasa watanzania wengi tunakula nyama za nguruwe zisizo na ubora licha ya kuwa zinathibitishwa na madaktari wa mifugo. Pia soko kubwa lipo hata kwa nje ya nchi.
 
Back
Top Bottom