Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio bora nisubiri nitakayempenda na kumuamini
Wote ni wale wale tu unasubir upepo ndugu yangu una siu utakuja kunikumbuka aisee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]awapi
nakwambia
Ntakutafuta nikukumbushe[emoji23][emoji23]
sawa utaleta mrejesho na usiwe na expectations kubwa sana utakuwa disappointed...
Wala sina high expectations nshawazoea watoto wa farao [emoji23][emoji23][emoji23] ila trust me hata kama sio kwang ntakuletea ushuhuda hata wa jirani yangu
I swear to God, I am waiting for that, Tuombe uzima, and i wish you all the best, ukifanikiwa just hit my dm and let me know whatsup, I always wish people the best, na angalia usiwe selective sana sababu hiyo pia ndio inawacost wanawake wengi..[emoji1534][emoji1534][emoji1534][emoji1534]
Ameeeeen mom, pitia kwa mangi pata zile baridiii unazozipenda, bill kwangu mie, nakuja kulipa.Mmhh binafsi hivi vitu naona kama vinashabihiana! Hapo ni sawa mwanadamu aambiwe achague kimoja kwenye mwili wake kati ya moyo na ubongo kipi kiendelee kufanya kazi kipi kiache kufanya kazi!
Hata yeye akisema achague sawa anaweza akachagua kimoja kati ya hivyo lakini system ndani ya mwili wake haitaruhusu kimoja kati ya hivyo kuacha kufanya kazi hivyo huyu mtu lazima tu atakufa!
Kwahiyo hapa hata tukisema sisi tuchague kimoja kati ya hivyo tunaweza tukachagua tu! Lakini automatically hivyo vitu vyote viwili ni muhimu kwenye mahusiano kikikosekana hata kimoja basi yatakufa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwenye pesa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwenye pesa.
Mwanaume anahitaji mwanamke anaemsikiliza na kumtii.
Mwanamke anahitaji mwanaume anayempenda na kumjali.
Ili mwanamke upendwe na kujaliwa inatakiwa uwe msikivu na mtiifu.
Ili mwanaume usikilizwe na awe mtiifu itakulazimu umpende na kumjali.
Over
Usijethubutu..utaumia.Hatupendagi ivoivoKwa upande wangu mimi kama namwamini na kweli ni mwaminifu bora huyo maana nitajifunza kumpenda huko huko.
Kuliko unayempenda halafu humwamini unaishi roho juu inaua hisia kabisa za mapenzi.
#Washa taa.#