Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Mueleweshe maana ya BREAK EVENHuoni wewe pia itahitaji miaka 10 kubreak even
Bado ndani ya hiyo miaka 10 kuna marekebisho mengi na pia nyumba nzuri na mpya zitajengwa hivyo itakubidi upunguze bei
Ni kweli
Ijapokua rais Mwinyi alifungua milango mwaka 1985 na sasa ni miaka zaidi ya 30 imepita nadhani athari hizo zinatakiwa ziwe zimefifia bynow
Mbona mnatupigia hesabu za UPE(Ualimu pasipo Elimu)? Yaan kwa miaka 29, kodi itakuwa hiyohiyo laki 6? Haiongezeki? Ni nani hapa amewahi kupanga nyumba na kulipa kiasi kile kile kwa miaka hata 5?600,000 × 12 = 7.2m kwa mwaka.
150m ÷ 7.2m = 29 years ili pesa yako irudi. Hapo hijaweka hata senti tano ya services and replacements na usumbufu wa wale wapangaji jeuri.
Tuone kama utaweka fixed acc kwa walau 8% interest kwa mwaka.
8% times 150m = 12m
Kwa miaka 29 = 348.
After 29 years tuna watu wawili hapa baba mwenye nyumba na huyu Mzee wa fixed account...Haya wachumi tusaidieni hapa nani kapata zaidi?
Mmoja ana nyumba yake na mwingine ana 348m + 150m
Nani mjanja?? Wekeni na approx land value baada ya hiyo miaka 29.
Mjenzi ana nyumba 150m + vakue ya kiwanja after 29 years.
Waulize wenzako chumba kimoja,choo,kijiko na sebule wanalipa shilling ngap dar? Ni kuanzia laki 2 na kupanda tena kama ipo karibu na mjini hiyo hiyo laki 4 na ni chakavu kabisa na watu wanapanga,wewe unasemaje kwani?Kwa ujenzi huo ndo umpangishe mtu laki 6 Kwa mwezi?
Hii biashara kichaa sio ya Kufanya kwa kutumia hela ya Mkopoo utakufa mawazooo...!! Una hela yako huna nayo kazii fanya hivii
Nyumba ya kupanga ni mwamvuli wa future ya watoto, kwa mfano umetoweka hapa duniani paaah!!!!!, una nyumba zako za kupangisha kama 4 hivi, hapa watoto itakua umewawekea ulinzi wa uchumi
Mbona mnatupigia hesabu za UPE(Ualimu pasipo Elimu)? Yaan kwa miaka 29, kodi itakuwa hiyohiyo laki 6? Haiongezeki? Ni nani hapa amewahi kupanga nyumba na kulipa kiasi kile kile kwa miaka hata 5?
Inawezekana hii biashara ya nyumba za kupanga haina faida kivile. Basi tuipinge kwa hoja za kweli, sio za kuungaunga.
Achana na hao
Nenda kwenye makampuni makubwa ya kibiashara Vodacom airtel benk n.k
Wote hawa huishia kupanga tu na sio kujenga mzee
Ujenzi ni dead project Mzee
Leo tunalaumu mifuko ya hifadhi za jamii kwakuwa mapesa yote wamepeleka kwenye maujenzi
Mojawapo ya demand for the 'stimulus package' pale USA ilikuwa ni wadau kuchukua pesa yao na kuizamisha kwenye ujenzi
Pata hela fanya biashara huwezi tia kwenye fixed account au kanunue hisa huko
Huwezi hayo yote ni bora upige tu chipsi zege na mayai na kuku sio ujenzi mkuu
Ujenzi iachiwe serikali yenyewe kupitia NHC na wenzako na magharama yao yasiyohimirika
Usikope kuanzisha mradi ama biashara, kopa ili kuendeleza....si maneno yangu bali ni maneno ya kijana wangu mmoja aliepo makao makuu CRDB.
Mimi ni nani hata nikope bank, wacha nife maskini tu.
Kiukweli wahindi hawanaga usenge wa kupanga matofali kabisa na wana hela mbaya kabisa. Huo ufala tunao sisi weusi 😂😂😂 ati nyumba ni heshima.
Kabisa aisee..Mkopo duu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Unaweza kufa mawazo kabisa!Ni kweli mkuu. Hela ya ziada ndio yakufanyia haya mambo sio mkopo au NSSF
Mimi wife ananiboa anaponiambia tujenge lijumba wakati mtaji wa kujenga nyumba naimarisha shamba langu la ng'ombe
Ng'ombe unauza maziwa unapata mahela bado ng'ombe yupo ndama yupo na mbolea juu.
Miradi inalipa sio majumba sijui ni matakataka gani na kaahidi tutaachana kama sitajenga
Mimi ndio kwanza nanunua ng'ombe mwingine na wengine watatu wanazaa next month yeye ananiletea mambo ya majumba
Bili ya lita mbili nakaa mjengo wa heshima hapa mjini
Nashuri uchumi ufundishe kuanzia std III
Sasa expatriate umjengee masaki or mikocheni ni sh ngapi?.kiwanja plus nyumba ya hadhi yake?Point nzuri sana
Mashirka makubwa yenye uwezo kama Tigo na Voda, NMB nk hawajengi nyumba za kuishi maxpatriates - wanapanga. Lazima kuna maana kubwa katika hii strategic decision
Mbona mnatupigia hesabu za UPE(Ualimu pasipo Elimu)? Yaan kwa miaka 29, kodi itakuwa hiyohiyo laki 6? Haiongezeki? Ni nani hapa amewahi kupanga nyumba na kulipa kiasi kile kile kwa miaka hata 5?
Inawezekana hii biashara ya nyumba za kupanga haina faida kivile. Basi tuipinge kwa hoja za kweli, sio za kuungaunga.
Hakuna kanuni inayowafaa watu wote kwa wakati mmoja. Wako watu wataona real estate ni dili, wengine wataona ufala.
Nitoa mfano. Ili ufanikiwe mwenye biashara unahitaji usimamizi wa karibu sana. Kama unamiliki biashara ya baa, kila siku asubuhi unahitaji kwenda kupiga hesabu na kukagua ili mhudumu wa kaunta asiingize stock yake. Pia jioni uwepo ili wahudumu wachangamkie wateja.. Ndo kusema huwezi kufanya shughuli nyingine maana panahitajika micromanagement.
Biashara hii ya baa haimfai mfanyakazi anayetaka kujiongezea kipato kupitia chanzo kingine. Mfanyakaz nyumba ya kupangisha yaweza kumfaa maana usimamizi wake ni kila baada ya miezi 3/6/12. Pia mfanyakazi ni rahisi kujenga maana hahitaji dhamana ya kitu ili kupata mkopo. Hata akifa, warithi hawadaiwi.
Nyumba inaleta security kwa familiaWanawake wanapenda sana nyumba kwasababu wazazi wao wanawa pressure na wao wanapenda sana kuridhisha wazazi
Sio Dar ninayoijua makazi holela kibao-kodi mpaka elfu 5/chumba/mwezi, middle-class ni ndogo sana (changa) na wengi wameeelekea dom (saudia). Tuendako wengi wenu mtarudi vijijiniWaulize wenzako chumba kimoja,choo,kijiko na sebule wanalipa shilling ngap dar? Ni kuanzia laki 2 na kupanda tena kama ipo karibu na mjini hiyo hiyo laki 4 na ni chakavu kabisa na watu wanapanga,wewe unasemaje kwani?
Safi sana mkuu,Mimi huwa naamini nyumba hazipandi thamani bali hela yetu inashuka thamani na kusababisha vitu kuwa ghali hivyo nyumba nayo inapanda bei. Ibadili kwa dollar ndio utajua huwa haipandi bei