Kabembe
JF-Expert Member
- Feb 11, 2009
- 2,548
- 1,744
Haya mambo ya mazoea tuachane nayo, tuendane na economic and Market trends.
5 to 10yrs ago watu walinunua viwanja kwa pesa nyingi sana , yaani from 30m to 60m . Leo hii wanauza kwa 20m tena kwa mbinde. Kuna majumba kibao mjini hayana wapangaji na hayauziki.
So sekta ya Real Estate inaporomoka na kupanda kama sector nyingine , but this time imeporomoka sana.