Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja na hali mbaya ya kifedha bei ya nyumba kwenye miji ya zamani kama Magomeni, Kimara, Sinza ikoje? Inashuka?
Arusha ppf kuna jamaa alikataa mil 750 kipindi cha JK sa hivi kila akipata mteja/dalali bei anayoletewa ina-range kwny mil 350-400 hapo full stop.Bei zake zimeshuka, kama mtu alimataa bilioni moja wakati wa Kikwete yaani usawa huu wa Magu nafikiri hawezi kuiona kabisa!
Jirani yetu sinza kijiweni alikua anapangisha nyumba yake kwa Tsh.600,000 sa hivi mpangaji analipa 400,000 tena huyu nae analipiwa na office la sivyo angekua ashasepa.Pamoja na hali mbaya ya kifedha bei ya nyumba kwenye miji ya zamani kama Magomeni, Kimara, Sinza ikoje? Inashuka?
KweliMimi huwa naamini nyumba hazipandi thamani bali hela yetu inashuka thamani na kusababisha vitu kuwa ghali hivyo nyumba nayo inapanda bei. Ibadili kwa dollar ndio utajua huwa haipandi bei
Ila sio kwa kutumia Hela ya mkopoooBado naona nyumba ya 150M ni faida kwa kuwa ni fixed asset na hata kama unapangisha kwa shs 300000 kwa mwezi na return yake ni more than 50 years ni sawa
Hiyo ofisi soon itashindwa kumlipia. Landlord ajiandae kisaikolojia.Jirani yetu sinza kijiweni alikua anapangisha nyumba yake kwa Tsh.600,000 sa hivi mpangaji analipa 400,000 tena huyu nae analipiwa na office la sivyo angekua ashasepa.
Duuh hii ni 50% depreciationArusha ppf kuna jamaa alikataa mil 750 kipindi cha JK sa hivi kila akipata mteja/dalali bei anayoletewa ina-range kwny mil 350-400 hapo full stop.
Argument yangu bado ipo pale pale. Kama inatoa tu pesa haiingizi, si bora uigawe tu?
Chuo gani wanafundisha hivyo?Mambo mengine yanafundishwa darasani siyo JF. Hapa JF hautaweza kuelewa maana ya asset na liability kama ilivyo kwenye vitabu. Nenda darasani! Wenzio wanakueleza ilivyo kwenye vitabu siyo hiyo unayoifikiria ya mtaani.