Watu wanashingilia bila kujua wanashingilia nini. Yakigeuka utawaskia tu, we subiri
Katika hoja zilizokaa kutafakari, ni hii hapa chiniHii kitu ni hatari kupita maelezo.
Huko kwenye mashirika kumejaa upendeleo wa kiwango cha SGR, wakubwa wa hayo mashirika wataajiri wakwe, vimada, vijukuu, marafiki zao tupu.
Subiri uone kimbembe chake.
Mamlaka na taasisi zisipewe mamlaka ya kujiajiri bila mchakato wa ndani kuratibiwa na kusimamiwa na utumishi. Taasisi zipewe jukumu la kutangaza ajira na tarehe za usaili lakini jukumu la kusimamia mchakato mzima wa ajira wasipewe wao.
Zipo faida zinazoweza kupatikana, mfano kuwa na ...Uwezo wa kuajiri haraka bila ya kufuata vigezo ??Je, Kuruhusu Mashirika na Taasisi za Umma kuajiri zenyewe ni Faida kwa wananchi na Taasisi husika Au Kuna Hasara ndani yake?.