Inategemeana ila kwa watoto wa siku hiz nafikir inawezekana tofauti na sisi enz zetu.
Mwanangu wa pil yuko clas 2 juz katika kurud toka shule amenishangaza sana.
Ananiambia "baba do you know what is enviroment?"
Akaanza ku define enviroment
Akanieleza components of enviroment ikiwemo living thing and non living thing
Akanieleza what is living thing
What is non living thing
Examples of living and non living things
Anaongea vyote kwa kingereza japo sio straight maana anasoma shule hizi za kawaid tuuu za kulipia sio zile viwango
Honestly wakuu NILIPIGWA NA BUTWAA.
Haya mamabo mimi niliyajua 2004 nikiwa form 1.Ku crame definitions and ku explain and listing.
Ila mbele yangu ni mtoto wa miaka 6 darasa la pil anafanya.
So mkuu nyakati zimebadilika sana.
Watoto wa siku hiz akil zinakua haraka sanaa