Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Wasalaam JF,
Hivi kweli hawana soni ya kushika makalio ya pisi zetu kali? Ukorofi huo🙄🙄
Kumezuka wimbi kubwa la kukiuka miiko ya kijinsia hivi kweli ni halali Daktari au Nesi wa kiume kumchoma sindano ya tako mgonjwa wa kike.
Hili ni sawa sawa kweli,? Tafadhari serikali iingilie Kati huu udhalilishaji unavotaka kufanywa kama utamaduni. Tuzingatie maadili sio poa kuwachoma sindano za tako wapenzi hii tabia ikomeshwe haraka sana.
Tuepuke matukio kama ya tarime yasitokee sehemu zingine za nchi.
Tamisemi na wizara ya afya mlitazame hili na likomeshwe haraka sana.
Wekeni mipaka kwenye wapenzi wa watu.
Wadiz