LeBron TZ
Senior Member
- Sep 26, 2018
- 176
- 207
Mkuu udaktari ni proffesion yenye miiko na maadili yake. Kwa dr sehemu za siri za jinsia iliyo tofauti ni sehemu tu ya kazi.Wasalaam JF,
Hivi kweli hawana soni ya kushika makalio ya pisi zetu kali? Ukorofi huo[emoji849][emoji849]
Kumezuka wimbi kubwa la kukiuka miiko yq kijinsia hivi kweli ni halali Daktari au Nesi wa kiume kumchoma sindano ya tako mgonjwa wa kike.
Hili ni sawa sawa kweli,? Tafadhari serikali iingilie Kati huu udhalilishaji unavotaka kufanywa kama utamaduni. Tuzingatie maadili sio poa kuwachoma sindano za tako wapenzi hii tabia ikomeshwe haraka sana.
Tuepuke matukio kama ya tarime yasitokee sehemu zingine za nchi.
Tamisemi na wizara ya afya mlitazame hili na likomeshwe haraka sana.
Wekeni mipaka kwenye wapenzi wa watu.
Wadiz
Imagine mgonjwa wa kike kaletwa icu anatakiwa apewe huduma kunusuru maisha ikiwamo kumchoma sindano na hakuna wa kumchoma isipokua dr wa kiume!
Huko mbele kuna male Gynecologist wa kutosha . Sasa assume Gynecologist wa kiume kazi yake ilivyo, licha hiyo ya kuchoma sindano tu.