Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
Unaonekana mdogo au jinga kubwa tuuKwahiyo umejiskiaje mkeo kushikwashikwa mkuu?
Bhujiku ng'waka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaonekana mdogo au jinga kubwa tuuKwahiyo umejiskiaje mkeo kushikwashikwa mkuu?
Bhujiku ng'waka
Mhala sana bhabhaa?Unaonekana mdogo au jinga kubwa tuu
Hapo sasa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vipi kwa daktari wa kiume kumshika tackle na kumchoma mgonjwa wa kiume?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nesi alimchoma sindano bitozi mmoja, badala ya kuchoma alianza kumuuliza, "haya makalio mara ya mwisho kupaka mafuta ni lini?"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We unaongelea kuchoma sindano, he he h ehe e nenda labor ukaona wanawake wanavyochezwaa K zao na madaktari vijana wa kiume.
Nani anashida na mpenzi wako?,kama anataka kupona atachomwa,hayo matako yanathamani kwako sio kwetu sisi kwetu chenye thamani ni utengamavu wa afya yake,na ndio mana hata wakunga kuna wanawake na wanaume,mtibu mwenyewe kma vipi au tafuta madaktari wako,sisi tuna miiko yetu ya kazi ndio muongozo,utachomwa tu bro utake usitke,na demu wako atachomwa tu utake usitake,labd kama ahumwiWasalaam JF,
Hivi kweli hawana soni ya kushika makalio ya pisi zetu kali? Ukorofi huo🙄🙄
Kumezuka wimbi kubwa la kukiuka miiko yq kijinsia hivi kweli ni halali Daktari au Nesi wa kiume kumchoma sindano ya tako mgonjwa wa kike.
Hili ni sawa sawa kweli,? Tafadhari serikali iingilie Kati huu udhalilishaji unavotaka kufanywa kama utamaduni. Tuzingatie maadili sio poa kuwachoma sindano za tako wapenzi hii tabia ikomeshwe haraka sana.
Tuepuke matukio kama ya tarime yasitokee sehemu zingine za nchi.
Tamisemi na wizara ya afya mlitazame hili na likomeshwe haraka sana.
Wekeni mipaka kwenye wapenzi wa watu.
Wadiz
Sol de Mayo!!Mhala sana bhabhaa?
Nimekuuliza unajiskiaje mkeo au dada yako aachezewe sehemu yake ya siri wakati wa kumzalisha au kumshikashika matako wajati wa kudungwa injection!! Au huna mke wala dada n.k!!!
Acha ujuaji weweeWewe una sema sindano, je Gynecologist je?
Wewe uko dunia ya ngapi?
Mungu wangu Jf imevamiwa na illiterates?
Madaktari wanafaidi uchi wa mkeoUnawaza wakezetu kuchomwa sindano na manesi na madaktari wakiume
Je,wakezetu wanaojifungua na kuchezewa visimi vyao na madaktari wakiume wakati wakujifungua wawe kundilipi ?
Uwiano unaotaka wewe haiwezekani shukuru mkeo katoka salama