YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Wanawake wengi hupenda kuchomwa sindano za matakoni au kuzalishwa na wanaumeKwani ni halali daktari wa kike kumchoma sindano ya tako mgonjwa wa kiume???
Wanawake madaktari na manesi wanawake wajeuri kwa wanawake wenzao kuchoma sindano za matako wanachoma mbwa hata kuzalisha wakunga wa kiume wapole kuliko wakunga wanawake
Wanawake wengi waogo sindano ziwe za.matakoni au popote mchomaji akiwa mwanamke anafoka acha kudeka wa kiume anabembeleza itauma kidogo jikaze kidogo mama
Anayebisha aulize wanawake wenyewe