Je, ni halali Daktari wa kiume kumchoma sindano ya tako mgonjwa wa kike?

Je, ni halali Daktari wa kiume kumchoma sindano ya tako mgonjwa wa kike?

Sio kuchomwa Tu, wakiwa wajawazito wanapimwa ultrasound, huko wanatiwa mpaka madole kwenye uke, yaani mwanamke anapoenda clinic ya uzazi akiwa mjamzito huwa huko wanapimwa mengi. Alafu wanawake wanawapenda wanaume wawahudumie kuliko mwanamke mwezake
Kuna kitu nafikiri anakiwaza

Kuna wanawake hasa wake wa waumini wa siasa kali sitaki kutaja dini gani kila dini ina watu siasa kali kujifungua huwa wana hospitali maalumu lazima wajazwe pamba nyuma haja kubwa ili waweze kusukuma mtoto wakijifungua sababu huingiliwa sana mbele na nyuma kiasi kuwa kusukuma mtoto kujifungua huwa shida

Mfano Dar es salaam wana hospital maalumu za kujifungulia wanakowajua huo ufirauni wao wanawajaza mipamba nyuma ndio wanawambia sukuma mtoto

Sababu mwanamke kama anaingiliwa nyuma na mbele uzazi akifika kujifungua shida anajinyea nyea tu hawezi sukuma mtoto azaliwe
Madaktari sema wana viapi kibao wakiamua kutema cheche mbona hilo la daktari wa kiume kuchoma sindano mke wa mtu mbona dogo sana

Hawawezi jifungulia hospital za kawaida nadhani ndio msingi wa hoja yake

Sababu wakienda za kawaida picha lazima iungue moto

Anyway mleta mada ukiwa na mke peleka hizo hospital wanajua nani amchome sindano au kumzalisha

Achana na za kawaida
 
Nikumwa mimi kutibiwa na madem fresh ila mke wangu akiugua sitaruhusu atibiwe na mwanaume
 
Yes usually male doctor will ask the female patient if he could do that..If the female patient ask for a female nurse to be present at the time..then the doctor have to obey the patient's request[emoji205]

But if the female patient said its alright not to have anyone around..then the doctor have the right to do that because a doctor is a certified doctor and he is allowed to do that[emoji4][emoji112]
Not in Africa continent may be the first country. Usually female likes to be even alone in their rooms they call it privacy.
 
Wasalaam JF,

Hivi kweli hawana soni ya kushika makalio ya pisi zetu kali? Ukorofi huo🙄🙄

Kumezuka wimbi kubwa la kukiuka miiko yq kijinsia hivi kweli ni halali Daktari au Nesi wa kiume kumchoma sindano ya tako mgonjwa wa kike.

Hili ni sawa sawa kweli,? Tafadhari serikali iingilie Kati huu udhalilishaji unavotaka kufanywa kama utamaduni. Tuzingatie maadili sio poa kuwachoma sindano za tako wapenzi hii tabia ikomeshwe haraka sana.

Tuepuke matukio kama ya tarime yasitokee sehemu zingine za nchi.

Tamisemi na wizara ya afya mlitazame hili na likomeshwe haraka sana.

Wekeni mipaka kwenye wapenzi wa watu.

Wadiz

Hii ni mitazamo na huruhusiwa kulingana na mazingira husika:, kwani tiba ni makubaliano ya hiari kati ya mtoa huduma na mpewa huduma.

Tunaita gender sensitive, hutekelezwa kulingana na uwepo wa mbadala/alternative. Kuna baadhi ya wenzetu wako/hujali sana hili/very sensitive. Hii hupelekea hata wamiliki/waajili kuweka mlinganyo wa watoa huduma na upangaji wa ratiba za kazi kwa siku. Pia, busara kumuongoza muhusika pale ambapo mbadala haupo au kutafuta mbadala.

Ingawa, wakati mwingine ni kinyume chake: mteja wa kike anaweza kupenda kuhudumiwa na mtoa huduma wa kiume vs mteja wa kiume akapenda mtoa huduma wa kike.

Hii inaweka ugumu kwenye upataji wataalamu kwa mlinganyo uutakao, mfano: nesi wa kiume ni wachache ukilinganisha na kike vs daktari wa kike ni wachache kulinganisha na kiume. Ingawa gape/utofauti unaenda ikipungua siku hadi siku.

Yote tunayakubali ni ya walimwengu ni kutekeleza kwa kadri inavyowezekana.
 
Ndugu wachangiaji asante kwa mwitikio kwenye mada hii nzito, msione kimya nipo kitengo nasisamia mauzo ya mpunga semi na mafuso yanapakia mzigo, si mnajua kauli mbiu pesa kwanza mambo mengine baadaye. Tuendelee kuhamasisha tutafute pesa 🙏🙏🙏
 
Kasomee udaktari uchome sindano mkeo wewe mwenyewe sio kesi

Kasomee udaktari uchome sindano mkeo wewe mwenyewe sio kesi
Umeshindwa kusoma vizuri na kuelewa bali umekurupuka kuniQuote ,mimi nimezungumzia dharura sawasawa na mtu akiwa jangwani halafu ana kiu kikali akiona maji yanayofaa hata kama hayapo katika hali nzuri ya usafi.

Ila hayo maji hawezi kuyatumia katika hali ya kawaida nyumbani kwake ,ni sawa na mimi nimesuggest Daktari yeyote kutumika katika mazingira ya kama hayo ya jangwani na kupinga katika mazingira ya kawaida na kupendekeza atumike mtu sahihi .

Sasa sikutegemea kutoa jibu la kipopoma kama hilo utafikiri umekunywa chibuku.
 
Sio kesi mkeo kama kichwani ziko vizuri mwambie akasomee udaktari awe anajichoma sindano mwenyewe badala ya kutuita mapopoma tunaokujibu humu
 
Sio kesi mkeo kama kichwani ziko vizuri mwambie akasomee udaktari awe anajichoma sindano mwenyewe badala ya kutuita mapopoma tunaokujibu humu
Kuna mambo mawili AKILI HUNA au HUNA AKILI.

Kama polisi wakike wakiwepo ni sawa polisi wa kiume kuwafanyia upekuzi mwilini mwanamke ? hili ndio nalipinga mimi ila kwa vile akili zako sasa zimechanganyika na gongo au chibuku ndio maana unapayuka bila mantiki.
 
Unalinganisha polisi darasa la saba au form four failure na Dr ? Unajielewa wewe?

Ma Doctor wachache huwezi linganisha na polisi
 
Unalinganisha polisi darasa la saba au form four failure na Dr ? Unajielewa wewe?

Ma Doctor wachache huwezi linganisha na polisi
Ukiwa mjinga kiasi hiki haustahili kujibiwa , tena naona nikupuuze sasa.

Mimi sijalinganisha watu bali hali.

Ndugu Popoma naomba nikupuuze, sasa hutoniona nikukujibu chochote ndani ya uzi huu.
IMG_20221226_134955.jpg
 
Wanawake wengi hupenda kuchomwa sindano za matakoni au kuzalishwa na wanaume

Wanawake madaktari na manesi wanawake wajeuri kwa wanawake wenzao kuchoma sindano za matako wanachoma mbwa hata kuzalisha wakunga wa kiume wapole kuliko wakunga wanawake

Wanawake wengi waogo sindano ziwe za.matakoni au popote mchomaji akiwa mwanamke anafoka acha kudeka wa kiume anabembeleza itauma kidogo jikaze kidogo mama

Anayebisha aulize wanawake wenyewe

Kama asilimia kubwa ya wanawake wanapenda kutibiwa na madaktari wanaume,,basi elewa kuwa asilimia kubwa ya wanaume nao wanapenda kutibiwa na madaktari wa kike,,nawe kama unabisha kawaulize wanaume!!(vice Versa)wala usiumize bichwa lako bure kwa mambo ambayo yanaonekana na kuelewaka kirahisi mnoo
 
Ushawahi kuona daktari akiwa anampima mwanamke ambaye anasumbuliwa na UTI sugu , fungus, au PID. Au akiwa anacheki mtoto anapokaribia kutoka.
Hajawahi kuona huyu mtoa mada wanavyochukuliwa samples za viginal fluids kwa ajili ya kupimwa hayo maradhi na madaktari wa kiume.. sijui ndo atasemaje
 
Wanawake wengi hupenda kuchomwa sindano za matakoni au kuzalishwa na wanaume

Wanawake madaktari na manesi wanawake wajeuri kwa wanawake wenzao kuchoma sindano za matako wanachoma mbwa hata kuzalisha wakunga wa kiume wapole kuliko wakunga wanawake

Wanawake wengi waogo sindano ziwe za.matakoni au popote mchomaji akiwa mwanamke anafoka acha kudeka wa kiume anabembeleza itauma kidogo jikaze kidogo mama

Anayebisha aulize wanawake wenyewe
Ukweli mtupu[emoji2935]
 
Back
Top Bottom