Je, ni halali Daktari wa kiume kumchoma sindano ya tako mgonjwa wa kike?

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Wasalaam JF,

Hivi kweli hawana soni ya kushika makalio ya pisi zetu kali? Ukorofi huoπŸ™„πŸ™„

Kumezuka wimbi kubwa la kukiuka miiko ya kijinsia hivi kweli ni halali Daktari au Nesi wa kiume kumchoma sindano ya tako mgonjwa wa kike.

Hili ni sawa sawa kweli,? Tafadhari serikali iingilie Kati huu udhalilishaji unavotaka kufanywa kama utamaduni. Tuzingatie maadili sio poa kuwachoma sindano za tako wapenzi hii tabia ikomeshwe haraka sana.

Tuepuke matukio kama ya tarime yasitokee sehemu zingine za nchi.

Tamisemi na wizara ya afya mlitazame hili na likomeshwe haraka sana.

Wekeni mipaka kwenye wapenzi wa watu.

Wadiz
 
Sasa auwawe kisa kashika tako la mgonjwa ,sisi ambao wake zetu wamezalishwa na wanaume tena wameshikwa k zao , so mme muuwa Dk kisha kumchoma sindano mgonjwa kama alikuwa peke yake angefanyaje ,mimi nimedungwa sana sindano na manesi wa kike tuna tunapiga story na mmoja nilimla mbususu

Acheni ulofa watu wa tarime wapumbavu sana nyie

USSR
 
We unaongelea kuchomwa sindano ya kalio? Unadhani wakienda kujifungua nani anawazalisha?

Hauko serious wewe.
 
Mfano mwanao wa kiume daktari pekee hospitali unaumwa nyumbani unataka kufa dawa sindano na dawa anayo akuache ufe wewe? Usubiri hadi apatikane daktari mwanamke au nurse?

Au unahitaji operation daktari bingwa wa operation ni mwanao tu utakataa kuvua nguo akufanyie operation ukiwa uchi uwe mzima na asipoteze mama yake au utakubali ufe tu usumbue mtoto gharama za msiba?
 
Vipi kwa daktari wa kiume kumshika tackle na kumchoma mgonjwa wa kiume?
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Hiyo ni dharura, kwa maana ikiwa hakuna namna zaidi ya hiyo na ikiachwa patapatikana madhara makubwa lazima jambo hilo lifanyike hata kama halipo sawa tofauti na mtu kujiamulia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…