Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Hakuna kitu kama hicho wewe...naenda na mm mwaka huu kusoma certificate inanitosha nakaa labour na sindazo kwengine sitaki π π
Jibu swali DAKTARI BINGWA.Kweli wewe ni Divisioni Foo
Anzisha uzi wako utajibiwa maswali yako dada.
Asa we unasema sindano ya tako mbona hilo suala ni jepes,je wanaopimwa njia ya kujifungua?au saratan ya kizazi vipimo vyake unavijua??ππππ,je kutanyiwa ultrasound au x rey ya mambo ya uzazi?tena unakuta kijana mdogoooo anawapima wamama watu wazima huko utaomba poaaππππWasalaam JF,
Hivi kweli hawana soni ya kushika makalio ya pisi zetu kali? Ukorofi huoππ
Kumezuka wimbi kubwa la kukiuka miiko ya kijinsia hivi kweli ni halali Daktari au Nesi wa kiume kumchoma sindano ya tako mgonjwa wa kike.
Hili ni sawa sawa kweli,? Tafadhari serikali iingilie Kati huu udhalilishaji unavotaka kufanywa kama utamaduni. Tuzingatie maadili sio poa kuwachoma sindano za tako wapenzi hii tabia ikomeshwe haraka sana.
Tuepuke matukio kama ya tarime yasitokee sehemu zingine za nchi.
Tamisemi na wizara ya afya mlitazame hili na likomeshwe haraka sana.
Wekeni mipaka kwenye wapenzi wa watu.
Wadiz
Asee hili swali fikirishi [emoji3][emoji3][emoji3] bora nichomwe na wakikeVipi kwa daktari wa kiume kumshika tackle na kumchoma mgonjwa wa kiume?
Unaogopa nini KUSHIKWA SHIKWA MATAKO na DAKTARI BINGWA?Asee hili swali fikirishi [emoji3][emoji3][emoji3] bora nichomwe na wakike
Mi nadhani mjadala ungelikuwa mtam kama swali lako lingelijibiwa kwa swali namna hii, je ni halali mkunga wa kiume kumzalisha mwanamke wakati wa kujifungua au ni halali dokta wa kiume kumfanyia pasuaji mgonjwa wa kike?Wasalaam JF,
Hivi kweli hawana soni ya kushika makalio ya pisi zetu kali? Ukorofi huoππ
Kumezuka wimbi kubwa la kukiuka miiko ya kijinsia hivi kweli ni halali Daktari au Nesi wa kiume kumchoma sindano ya tako mgonjwa wa kike.
Hili ni sawa sawa kweli,? Tafadhari serikali iingilie Kati huu udhalilishaji unavotaka kufanywa kama utamaduni. Tuzingatie maadili sio poa kuwachoma sindano za tako wapenzi hii tabia ikomeshwe haraka sana.
Tuepuke matukio kama ya tarime yasitokee sehemu zingine za nchi.
Tamisemi na wizara ya afya mlitazame hili na likomeshwe haraka sana.
Wekeni mipaka kwenye wapenzi wa watu.
Wadiz
Kwani ubongo, that is why mwanamke walio wengi wakitoka Kule akΓli hubadilika na kuona K haina thamani kabisaa Tofauti na enzi wakiwa vijana/Kabla ya kwenda laborSii neno zuri hilo..acha utoto.
Siwezi shikwa kifalaUnaogopa nini KUSHIKWA SHIKWA MATAKO na DAKTARI BINGWA?
Utashikwa sana ukiumwa.Siwezi shikwa kifala
Labda nikiwa maitiUtashikwa sana ukiumwa.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Tako zenyewe za wake zenu ni chafu