Pre GE2025 Je, ni halali kwa Katiba ya Chadema Boniface Jacob kuchaguliwa Uongozi wa Kanda bila yeye mwenyewe kupiga Kura?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
7 October nitaanza likizo baada ya amani ya kudumu kupatikana Iran πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hakuna tatizo lolote, mbona kuna mtu hadi ni rais na hakupiga kura?!, sifa za mtu kuchaguliwa ni kuwa na sifa na sio lazima uwepo au upige kura, ila kitendo cha mtu kuchaguliwa uongozi in absentia ni kipimo cha imani kubwa walionayo kwako hao wapiga kura wako.

Big up sana Boni Yai

P
 
Hata CCM na ndugu zao Polisi walikuwa na mawazo kama yako, wakamtumia Hakimu duni kumnyima dhamana
 
Kwahiyo ulimuweka ndani kwa malengo ya kupishana na uchaguzi? 🀣 🀣 🀣 🀣
 
Mwenye roho mbaya mmempokonya haki hiyo.
 
Katiba ya CCM inasemaje kuhusu kutoa fomu Moja kwa mgombea Urais 2025?
 
Ana sababu ya msingi ya kutokufika. Mahakama unapiga danadana dhamana yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…