Pre GE2025 Je, ni halali kwa Katiba ya Chadema Boniface Jacob kuchaguliwa Uongozi wa Kanda bila yeye mwenyewe kupiga Kura?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kama kuna katiba hio duniani basi dunia imeisha. Sasa ikitokea mgombea wa urais wa upinzani duniani akawekwa ndani , inamaana mpinzani wake atapita kiulani?kwa sababu sikuya kupiga kura kawekwa ndani? Chukua likizo japo mwezi mmoja jf ili ukaipumzishe akili
7 October nitaanza likizo baada ya amani ya kudumu kupatikana Iran 😂😂
 
Kote Duniani kwenye Demokrasia Mgombea ni lazima awe mpiga kura na siku ya uchaguzi ashiriki kupiga Kura

Sasa Boniface Jacob kachaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani nafasi iliyowahi Kushikiliwa na Waziri Mkuu mstaafu mzee Sumaye kabla hajaogopa kulamba Sumu

Katiba ya Chadema inasemaje Katika hili?

Nawatakia Dominica Njema 🌹
Hakuna tatizo lolote, mbona kuna mtu hadi ni rais na hakupiga kura?!, sifa za mtu kuchaguliwa ni kuwa na sifa na sio lazima uwepo au upige kura, ila kitendo cha mtu kuchaguliwa uongozi in absentia ni kipimo cha imani kubwa walionayo kwako hao wapiga kura wako.

Big up sana Boni Yai

P
 
Kote Duniani kwenye Demokrasia Mgombea ni lazima awe mpiga kura na siku ya uchaguzi ashiriki kupiga Kura

Sasa Boniface Jacob kachaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani nafasi iliyowahi Kushikiliwa na Waziri Mkuu mstaafu mzee Sumaye kabla hajaogopa kulamba Sumu

Katiba ya Chadema inasemaje Katika hili?

Nawatakia Dominica Njema 🌹
Hata CCM na ndugu zao Polisi walikuwa na mawazo kama yako, wakamtumia Hakimu duni kumnyima dhamana
 
Kote Duniani kwenye Demokrasia Mgombea ni lazima awe mpiga kura na siku ya uchaguzi ashiriki kupiga Kura

Sasa Boniface Jacob kachaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani nafasi iliyowahi Kushikiliwa na Waziri Mkuu mstaafu mzee Sumaye kabla hajaogopa kulamba Sumu

Katiba ya Chadema inasemaje Katika hili?

Nawatakia Dominica Njema 🌹
Kwahiyo ulimuweka ndani kwa malengo ya kupishana na uchaguzi? 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Kote Duniani kwenye Demokrasia Mgombea ni lazima awe mpiga kura na siku ya uchaguzi ashiriki kupiga Kura

Sasa Boniface Jacob kachaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani nafasi iliyowahi Kushikiliwa na Waziri Mkuu mstaafu mzee Sumaye kabla hajaogopa kulamba Sumu

Katiba ya Chadema inasemaje Katika hili?

Nawatakia Dominica Njema 🌹
Mwenye roho mbaya mmempokonya haki hiyo.
 
Katiba ya CCM inasemaje kuhusu kutoa fomu Moja kwa mgombea Urais 2025?
 
Ana sababu ya msingi ya kutokufika. Mahakama unapiga danadana dhamana yake.
 
Back
Top Bottom