johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
7 October nitaanza likizo baada ya amani ya kudumu kupatikana Iran 😂😂Kama kuna katiba hio duniani basi dunia imeisha. Sasa ikitokea mgombea wa urais wa upinzani duniani akawekwa ndani , inamaana mpinzani wake atapita kiulani?kwa sababu sikuya kupiga kura kawekwa ndani? Chukua likizo japo mwezi mmoja jf ili ukaipumzishe akili