Pre GE2025 Je, ni halali kwa Katiba ya Chadema Boniface Jacob kuchaguliwa Uongozi wa Kanda bila yeye mwenyewe kupiga Kura?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kote Duniani kwenye Demokrasia Mgombea ni lazima awe mpiga kura na siku ya uchaguzi ashiriki kupiga Kura

Sasa Boniface Jacob kachaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani nafasi iliyowahi Kushikiliwa na Waziri Mkuu mstaafu mzee Sumaye kabla hajaogopa kulamba Sumu

Katiba ya Chadema inasemaje Katika hili?

Nawatakia Dominica Njema 🌹

Pia, soma:

Kuelekea 2025 - Boniface Jacob achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani
 
Kote Duniani kwenye Demokrasia Mgombea ni lazima awe mpiga kura na siku ya uchaguzi ashiriki kupiga Kura

Sasa Boniface Jacob kachaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani nafasi iliyowahi Kushikiliwa na Waziri Mkuu mstaafu mzee Sumaye kabla hajaogopa kulamba Sumu

Katiba ya Chadema inasemaje Katika hili?

Nawatakia Dominica Njema 🌹
Unashangaa nini, hivi wailiopita bila kupingwa 2020, walipiga kura zao wapi?

Nape na Babu Tale hata hilo box la kura halikuwepo,
Dominica njema bwashee,b
Kote Duniani kwenye Demokrasia Mgombea ni lazima awe mpiga kura na siku ya uchaguzi ashiriki kupiga Kura

Sasa Boniface Jacob kachaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani nafasi iliyowahi Kushikiliwa na Waziri Mkuu mstaafu mzee Sumaye kabla hajaogopa kulamba Sumu

Katiba ya Chadema inasemaje Katika hili?

Nawatakia Dominica Njema 🌹
 
Kote Duniani kwenye Demokrasia Mgombea ni lazima awe mpiga kura na siku ya uchaguzi ashiriki kupiga Kura

Sasa Boniface Jacob kachaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani nafasi iliyowahi Kushikiliwa na Waziri Mkuu mstaafu mzee Sumaye kabla hajaogopa kulamba Sumu

Katiba ya Chadema inasemaje Katika hili?

Nawatakia Dominica Njema 🌹
Kuna shida hapo Kwani
 
Hicho siyo Chama cha Siasa bali ni SACCOS ya Chagadomo.
 
Kote Duniani kwenye Demokrasia Mgombea ni lazima awe mpiga kura na siku ya uchaguzi ashiriki kupiga Kura

Sasa Boniface Jacob kachaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani nafasi iliyowahi Kushikiliwa na Waziri Mkuu mstaafu mzee Sumaye kabla hajaogopa kulamba Sumu

Katiba ya Chadema inasemaje Katika hili?

Nawatakia Dominica Njema 🌹
Ni halali,kwani yeye kasemaje?Kuna mtu hapendi mazuri kwake!Huyo atakuwa punguani,fanya kazi acha wivu.
 
Kama kuna katiba hio duniani basi dunia imeisha. Sasa ikitokea mgombea wa urais wa upinzani duniani akawekwa ndani , inamaana mpinzani wake atapita kiulani?kwa sababu sikuya kupiga kura kawekwa ndani? Chukua likizo japo mwezi mmoja jf ili ukaipumzishe akili
Kote Duniani kwenye Demokrasia Mgombea ni lazima awe mpiga kura na siku ya uchaguzi ashiriki kupiga Kura

Sasa Boniface Jacob kachaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani nafasi iliyowahi Kushikiliwa na Waziri Mkuu mstaafu mzee Sumaye kabla hajaogopa kulamba Sumu

Katiba ya Chadema inasemaje Katika hili?

Nawatakia Dominica Njema 🌹
 
Kama kuna katiba hio duniani basi dunia imeisha. Sasa ikitokea mgombea wa urais wa upinzani duniani akawekwa ndani , inamaana mpinzani wake atapita kiulani?kwa sababu sikuya kupiga kura kawekwa ndani
Huyu jamaa akili zake zinasikitisha sana. Nilishamshauri afiche upumbavu wake lakini mbishi
 
Kote Duniani kwenye Demokrasia Mgombea ni lazima awe mpiga kura na siku ya uchaguzi ashiriki kupiga Kura

Sasa Boniface Jacob kachaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani nafasi iliyowahi Kushikiliwa na Waziri Mkuu mstaafu mzee Sumaye kabla hajaogopa kulamba Sumu

Katiba ya Chadema inasemaje Katika hili?

Nawatakia Dominica Njema 🌹
Katimiza masharti yote ya chama, hayo ya polisi waachie polisi wenyewe.
 
Kote Duniani kwenye Demokrasia Mgombea ni lazima awe mpiga kura na siku ya uchaguzi ashiriki kupiga Kura

Sasa Boniface Jacob kachaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani nafasi iliyowahi Kushikiliwa na Waziri Mkuu mstaafu mzee Sumaye kabla hajaogopa kulamba Sumu

Katiba ya Chadema inasemaje Katika hili?

Nawatakia Dominica Njema 🌹
Kama inakataza kutopigiwa kura ukiwa haupo itakua ni katiba mbaya sana
 
Kote Duniani kwenye Demokrasia Mgombea ni lazima awe mpiga kura na siku ya uchaguzi ashiriki kupiga Kura

Sasa Boniface Jacob kachaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani nafasi iliyowahi Kushikiliwa na Waziri Mkuu mstaafu mzee Sumaye kabla hajaogopa kulamba Sumu

Katiba ya Chadema inasemaje Katika hili?

Nawatakia Dominica Njema 🌹
Dunia ipi hiyo? Mgombea akifariki au akiugua siku ya kupiga kura jina lake linafutwa kwenye karatasi! Usilete vituko hapa.
 
Kote Duniani kwenye Demokrasia Mgombea ni lazima awe mpiga kura na siku ya uchaguzi ashiriki kupiga Kura

Sasa Boniface Jacob kachaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani nafasi iliyowahi Kushikiliwa na Waziri Mkuu mstaafu mzee Sumaye kabla hajaogopa kulamba Sumu

Katiba ya Chadema inasemaje Katika hili?

Nawatakia Dominica Njema 🌹

Sasa wewe umesahahu kwamba jamaa alilazimishwa kutokuwepo?
 
Back
Top Bottom