johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kote Duniani kwenye Demokrasia Mgombea ni lazima awe mpiga kura na siku ya uchaguzi ashiriki kupiga Kura
Sasa Boniface Jacob kachaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani nafasi iliyowahi Kushikiliwa na Waziri Mkuu mstaafu mzee Sumaye kabla hajaogopa kulamba Sumu
Katiba ya Chadema inasemaje Katika hili?
Nawatakia Dominica Njema 🌹
Pia, soma:
Kuelekea 2025 - Boniface Jacob achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani