Kuchitimbo
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 439
- 366
Ndiyo ni sahihiWadau wa elimu naomba msaada.
Ni sahihi Mkuu wa shule kumtoa mwanafunzi nje ya chumba cha mtihani na kumcharaza viboko kisa kusinzia?
Mwanangu kaja na kunisimulia.
Kama ninyi ni walimu basi tuna safari ndefu,Ndiyo ni sahihi
Sasa ndugu yangu usingizi si unakuja tu wenyewe au?!Walimu wana kazi sana.
Yaani mwanao yuko chumba cha mtihani. Anasinzia,M/Mkuu anampa adhabu,unaona kama mwanao ameonewa. Litoto lako likipata 0 unarudisha lawama kwa walimu.
Mtoto alisema wakisha maliza kula chakula cha mchana watu wengi unakuta wanasinzia kwenye mtihaniSasa ndugu yangu usingizi si unakuja tu wenyewe au?!
Mtoto alisema wakisha maliza kula chakula cha mchana watu wengi unakuta wanasinzia kwenye mtihani
Lakini uzuri alisema Kulikuwa na msimamizi kila chumba kwa nini asimuombe msimamizi awe anawaamsha Hadi awatoe kwenda kuwachapa?.
Huoni mtoto atakuwa amefanya mtihani hayuko sawa?
Acheni uzungu Afrika, wewe ungelelewa hivyo shulen ungefaulu??SIO SAHIHI.Mwalimu kama mlezi na kama mwanataalumu hayuko sahihi .Mwalimu anapaswa kuongea na mwanafunzi kwanza kuelewa tatizo lake lipo vipi na linasababishwa na nini?Katika mazingira ya sasa kusinzia au kulala darasani linachangiwa na mambo mengi.Sisi ni mashahidi watu wanalala sana kwenye magari na katika maeneo ya mikusanyiko hii inamaana lipo tatizo linalosababishwa na hali ya hewa
Kama hajasoma Physics hakuna kozi yoyote ya afya anayeweza kuisoma. Mwambie akasome vitu vingine.Samahani naomba nitoke nje ya mada kidogo japo wote tupo kwenye elimu. Nina mdogo wangu amemaliza form four na anapenda kusomea course za afya certificate but hajasoma Physics na Chemistry ila ada C,B na D za massomo mengine ikiwemo biology. Je ni course gani anaweza kusomea za afya?
Ni halali kabisa na ungefaa na wewe mzazi ukapate na wewe viboko 70 kwa kumwacha mtoto kwenye TV mpaka usiku mneneWadau wa elimu naomba msaada.
Ni sahihi Mkuu wa shule kumtoa mwanafunzi nje ya chumba cha mtihani na kumcharaza viboko kisa kusinzia?
Mwanangu kaja na kunisimulia.
Samahani naomba nitoke nje ya mada kidogo japo wote tupo kwenye elimu. Nina mdogo wangu amemaliza form four na anapenda kusomea course za afya certificate but hajasoma Physics na Chemistry ila ada C,B na D za massomo mengine ikiwemo biology. Je ni course gani anaweza kusomea za afya?
ungekuwa huku Lingusenguse ningekununulia Lunch,copral punishments ni unyama at its highest level,tafiti zote za kisayansi zimekuja na majibu utumiaji wa adhabu hii hausaidii katika kudhibiti nidhamu na badala yake inaleta na kujenga chuki kati ya mwalimu na mwanafunzi,inaleta our next generations ziwe na hasira na visasi (matokeo yake tunayaona humu ndani,walioua kwa viboko hata michango yao ni ya kihasira)get rid of this shit.SIO SAHIHI.Mwalimu kama mlezi na kama mwanataalumu hayuko sahihi .Mwalimu anapaswa kuongea na mwanafunzi kwanza kuelewa tatizo lake lipo vipi na linasababishwa na nini?Katika mazingira ya sasa kusinzia au kulala darasani linachangiwa na mambo mengi.Sisi ni mashahidi watu wanalala sana kwenye magari na katika maeneo ya mikusanyiko hii inamaana lipo tatizo linalosababishwa na hali ya hewa
Ni halali kabisa na ungefaa na wewe mzazi ukapate na wewe viboko 70 kwa kumwacha mtoto kwenye TV mpaka usiku mnene
SawaACHA KUONYESHA AKILI NDOGO.MWANAO ANAPOSINZIA AU KULALA KABLA YA KULA HUWA UNAMUADHIBU? .DAWA YA MWANAFUNZI ANAYESINZIA NI KUWAMBIA ASIMAME TU.KAMA UMEENDA SHULE KUNA MAMBO YANAITWA YA HIARI NA AMBAYO SI YA HIARI.KUSINZIA SIO JAMBO LA HIARI KAMA UNAVYOWEZA KUPIGA MIAYO,AU KWIKWI.