Kuchitimbo
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 439
- 366
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda hatujui kwa vile tulikimbia shule.Unauliza swali ilhali jibu lake unalijua...
Kitaratibu za mitihani mwalimu amekosea, na mwanafunzi mwenye "contents" kichwani tambua kuwa hawezi kusinzia akiwa anafanya mtihani.
Cha kushangaza watu wasiokuwa walimu hujifanya ni walimu bora kuliko walimu wenyewe japo hawana uzoefu wowote wa kukaa na watoto wa shule.
Siyo sahihi kabisa,kazi ya msimamizi katika kile chumba ilikuwa Ni Nini?.ni sahihi mkuu........ what if mtoto hakumaliza maswali au kuanza kabisa akawa amelala?.. unavyolalama umejitia upofu kuwa mwalimu kamtibu mtoto tabia ambayo inaweza kusababisha kufeli mitihani?
Siyo mmoja tu wa kwangu kasema wapo wengi,yeye alikuwa Kesha maliza,kuegesha kidogo usingizi ukapitia,kaamushwa na msimamizi kuwa mkuu anakuita,kaenda kuchezea bakora,na siyo fimbo mmoja ama mbili.Mtoto mpuuzi Uyo pia inaelekea ww ndio umemdekeza, mwanafunzi anayejitambua hawezi kulala ndani Ya mtihani, uyo tatizo kubwa
kazi ya msimamizi ni kusimamia..... vipi kama msimamizi ndio wale tulikuwaga tunawaita Mwalimu poa? walikuwa hawana muda na watoto...Siyo sahihi kabisa,kazi ya msimamizi katika kile chumba ilikuwa Ni Nini?.
Ukijibu Hilo swali nitakaa kimya.
Kumbuka yeye hakuwa msimamizi kwenye darasa lolote ila alikuwa akiwatoa nje na kuwalamba bakora.
Je concentration ya huyo mtoto na wengine itatoka wapi ataporudi darasani?.
Je kitendo cha kuwachapa kwa kuwatoa chumba cha mtihani je hakija sababisha internal noises kwa walio chapwa na ambao hawakuchapwa?.
Kwa Nini hajatumia wasimamizi walokuwa kwenye vyumba kuwaomba kuwaamsha Hadi kuwachapa?.
Walimu Bado hamjanishawishi.
Una ujauzito wa akili wewe,Kuna mtu aliye kutukana?.Sasa majibu unayo umileta hapa ili!!?
Akili zuzu ka mwanao PUMBAVU.
Labda hatujui kwa vile tulikimbia shule.
Hivi kweli mtu umalize kula ukashiba vizuri na ukaenda kukaa hata iwe kwa mtihani kweli usisinzie?.
Nilikuwa sijui Bali walimu ninao Kaa nao ndo walionieleza kuwa haruhusiwi.
Sasa Kama haruhusiwi kwa Nini afanye hivo?.
Au ndo ubabe kwa watoto wa maskini?.
Nimeamua kumuachia Mungu.
Labda Ulaya., kibongo bongo Adhabu zinasaidia sana tuungekuwa huku Lingusenguse ningekununulia Lunch,copral punishments ni unyama at its highest level,tafiti zote za kisayansi zimekuja na majibu utumiaji wa adhabu hii hausaidii katika kudhibiti nidhamu na badala yake inaleta na kujenga chuki kati ya mwalimu na mwanafunzi,inaleta our next generations ziwe na hasira na visasi (matokeo yake tunayaona humu ndani,walioua kwa viboko hata michango yao ni ya kihasira)get rid of this shit.
Akasome mortuary attendant kwa hizo sifa MkuuSamahani naomba nitoke nje ya mada kidogo japo wote tupo kwenye elimu. Nina mdogo wangu amemaliza form four na anapenda kusomea course za afya certificate but hajasoma Physics na Chemistry ila ada C,B na D za massomo mengine ikiwemo biology. Je ni course gani anaweza kusomea za afya?
Wadau wa elimu naomba msaada.
Ni sahihi Mkuu wa shule kumtoa mwanafunzi nje ya chumba cha mtihani na kumcharaza viboko kisa kusinzia?
Mwanangu kaja na kunisimulia.