FRANCIS DA DON JF-Expert Member Joined Sep 4, 2013 Posts 38,920 Reaction score 44,970 Feb 26, 2024 #1 Je, ni halali kwa mwanandoa kubadili dini akiwa ndani ya ndoa? Mfano mwanandoa akaamua kubadili dini na kuwa Muislam, na akaamua kufuata sunna ya Kiislam akaongeza mke wa pili, hii imekaaje kaaje?
Je, ni halali kwa mwanandoa kubadili dini akiwa ndani ya ndoa? Mfano mwanandoa akaamua kubadili dini na kuwa Muislam, na akaamua kufuata sunna ya Kiislam akaongeza mke wa pili, hii imekaaje kaaje?
Accumen Mo JF-Expert Member Joined May 15, 2022 Posts 18,036 Reaction score 39,882 Feb 26, 2024 #2 Mbona rahisi kwanza ndoa ya kwanza walifunga vip? Mgogoro wa ndoa katika ishu ya dini ni baina ya mke na mume ,wote wakiridhia hamna tatizo. Wakikubaliana hamna tatizo maana wamependana hakuna mtu anaweza kuwafanya chochote kile.
Mbona rahisi kwanza ndoa ya kwanza walifunga vip? Mgogoro wa ndoa katika ishu ya dini ni baina ya mke na mume ,wote wakiridhia hamna tatizo. Wakikubaliana hamna tatizo maana wamependana hakuna mtu anaweza kuwafanya chochote kile.
Sultan MackJoe Khalifa JF-Expert Member Joined Nov 24, 2022 Posts 6,782 Reaction score 14,148 Feb 26, 2024 #3 binafsi sioni tatizo kikubwa upendo udumu kwenye ndoa.