Ni halali, marehemu atakumbukwa kwa mazuri yake ila maisha mengine lazima yaendelee.Wanabodi,
Naomba uchambuzi wenu katika hili.
Nawasilisha
Mkuu, hana mimba huyo; anafanya matangazo ya nguo za wamama wajawazito
Wanabodi,
Naomba uchambuzi wenu katika hili.
Nawasilisha
Andika, usiweke video unamaliza mbWanabodi,
Naomba uchambuzi wenu katika hili.
Nawasilisha
NakaziaNi halali, marehemu atakumbukwa kwa mazuri yake ila maisha mengine lazima yaendelee.
Unamaanisha "fest" gentleman?Wanabodi,
Naomba uchambuzi wenu katika hili.
Nawasilisha
Tuassume siyo tangazo la Baby Show outfits ,ila ana haki ya kuanzisha uhusiano mpya.Wanabodi,
Naomba uchambuzi wenu katika hili.
Nawasilisha
Sema inafikirisha.Ni halali, marehemu atakumbukwa kwa mazuri yake ila maisha mengine lazima yaendelee.
Duuh nimechekaNitalia sana humo kaburini mwangu.
Si kama vile tumeona bongenyanya la Kishona tayari limeanza kukumbatia kizuka wetu mapemaaaa. Asiyekuwepo na lake halipo.Kwa hio mume akifa, mke asilombwe tena ? Wewe ukitangulia tu, wahuni tutakulombea mkeo bila huruma!
Dunia imevaa Dela