Je, ni halali Mume wa Ndoa kutangulizwa Akhera ili hili litokee???

Ndiyo athari za utandawazi

Sisi mwaka 47, ukishaoa mkeo hata mashemeji walikuwa hawaruhusiwi kumwona

Akija kujidai anaomba Maji ya kunywa ya mtungini, anapewa na mtoto 🤪

Siku hizi unakuta mtu ana demu mkali (kisu), kwa ujinga wake anampost mitandaoni

Hivi mnajua maana ya biashara matangazo nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…