Rozela
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 845
- 2,235
Kuna tangazo linawekwa sana UTV rais Samia anasema kuwa kila anapo safiri wasaidizi wake lazima wabebe kisimbuzi cha Azam.
Sasa ninachojiuliza, inamaana akitoka ikulu ya Dar wasaidizi wake wanabeba wanaenda nacho Kizimkazi, badae wanaunganisha nacho Dodoma, badae wanaenda nacho Mwanza n.k
Kwani hizo sehemu anazokwenda hakuna ving'amuzi au wasaidizi wake huwa wanapitiwa hivyo wanang'oa dishi wanasepa nalo ziarani?