Hii mambo iko huku Africa mkuu. Kina Jean Bedeli Bokassa, Marshall Mobutu Sesseseko, Omary Bongo hizi ndio zilikuwa mambo zao. Pesa ya nchi ni mali zoa binafsi. Madaraka yanalevya kuliko Kvant.
Hii mambo iko huku Africa mkuu. Kina Jean Bedeli Bokassa, Marshall Mobutu Sesseseko, Omary Bongo hizi ndio zilikuwa mambo zao. Pesa ya nchi ni mali zoa binafsi. Madaraka yanalevya kuliko Kvant.
Bora hata Mobutu kabla hajawa chizi aliunganisha Congo na investment kwenye Culture na kuleta hata Rumble in the Jungle...; Sasa ni karne kadhaa amesepa na sio kwamba Congo Utajiri umepotea bado upo sasa cha kujiuliza mbona mambo yanazidi kurudi nyuma...
Ni bora uwe mwizi kama Gadafi (unanunua suti) lakini angalau hata una maji ya mtoni kwenda kuonga au unajipiga passport... (Unaoga kwa kitambaa chenye unyevunyevu)