Je, ni kitu gani mwenye nyumba aliwahi kukukataza usikifanye?

Je, ni kitu gani mwenye nyumba aliwahi kukukataza usikifanye?

jannelle

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2020
Posts
824
Reaction score
1,581
Eh, basi leo nimekumbuka changamoto za nyumba za kupanga kwa kiasi mpaka unatamani kulia.

Nakumbuka nilishawahi ambiwa na mwenye nyumba wangu kuwa nisiwe natandika mashuka meupe na kitanda kisibadilishwe uelekeo tofauti na alivyoniambia[emoji23], kwingine niliambiwa kila mgeni akija lazima nimtambulishe kwake, bt ni kwa neema tu tumebarikiwa, vipi kwako ilikuwaje[emoji3526]
 
Daah kipengele cha kuonja msosi nilikatazwa alikuwa anaonja yeye tu.
Aliniambiwa nikiwa nimesinzia nisifumbe macho.
Daah hatari.
 
Mimi niliambiwa natakiwa niwe na mbususu moja ambayo nitaitambulisha kwake aijue basiii,
Kingine mama mwenye nyumba ukifungulia mziki (subwoofer) yeye anajua unamaliza umeme hivyo solution yake nikuzima mainswitch😀😀
 
Mimi niliambiwa natakiwa niwe na mbususu moja ambayo nitaitambulisha kwake aijue basiii,
Kingine mama mwenye nyumba ukifungulia mziki (subwoofer) yeye anajua unamaliza umeme hivyo solution yake nikuzima mainswitch[emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Gari lisipite juu ya simtank wakati simtank lenyewe lipo katikati ya geti...... Nyumba za kupanga [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Daah kipengele cha kuonja msosi nilikatazwa alikuwa anaonja yeye tu.
Aliniambiwa nikiwa nimesinzia nisifumbe macho.
Daah hatari.
Mmh hapa umeniacha sasa
 
Mimi niliambiwa natakiwa niwe na mbususu moja ambayo nitaitambulisha kwake aijue basiii,
Kingine mama mwenye nyumba ukifungulia mziki (subwoofer) yeye anajua unamaliza umeme hivyo solution yake nikuzima mainswitch[emoji3][emoji3]
[emoji1787] pole jamani
 
Mie nimeambiwa wageni na rafiki zako wasizidi wawili tena wawe we kiume na waje mchana tu kukuona
 
Back
Top Bottom