Je, ni kitu gani mwenye nyumba aliwahi kukukataza usikifanye?

Je, ni kitu gani mwenye nyumba aliwahi kukukataza usikifanye?

Sewer pit, cesspool, cesspit...... Basi mwenye nyumba angu anaita simtank[emoji16][emoji16]... Na ukiwa na wageni anawauliza nyie ni kina nani
Ooh tatizo sasa [emoji23]
 
Mimi alikuwa ananiita kwenye chumba chake kumuwekea balbu na mama mwenye nyumba alikuwa hana mume.
Mtihani sheikh!!
 
Hapa naendelea kujifunza na mimi nikiwa na nyumba yangu nipate masharti ya kuwapa wapangaji wangu.Sharti la kwanza ukipika kuku lazima paja moja nile mimi...
 
Nisifunge mlango usiku wkt nimelala!
 
Alinikataza kuondoa hirizi niliyokuta inaning'inia chumbani.
 
Hapa naendelea kujifunza na mimi nikiwa na nyumba yangu nipate masharti ya kuwapa wapangaji wangu.Sharti la kwanza ukipika kuku lazima paja moja nile mimi...
[emoji1787] utakaa mwenyewe
 
Back
Top Bottom