Je, ni kitu gani mwenye nyumba aliwahi kukukataza usikifanye?

Eh, basi leo nimekumbuka changamoto za nyumba za kupanga kwa kiasi mpaka unatamani kulia.

Nakumbuka nilishawahi ambiwa na mwenye nyumba wangu kuwa nisiwe natandika mashuka meupe na kitanda kisibadilishwe uelekeo tofauti na alivyoniambia[emoji23], kwingine niliambiwa kila mgeni akija lazima nimtambulishe kwake, bt ni kwa neema tu tumebarikiwa, vipi kwako ilikuwaje[emoji3526]
Huyu mwenye nyumba yako alikuwa mlozi
 
Alinikataza niwe nisiwe mzembe mzembe we kuwa free kama kwenu
Alooooooo we sio powa unaambiwaaa iyo
 
Eh, basi leo nimekumbuka changamoto za nyumba za kupanga kwa kiasi mpaka unatamani kulia.

Nakumbuka nilishawahi ambiwa na mwenye nyumba wangu kuwa nisiwe natandika mashuka meupe na kitanda kisibadilishwe uelekeo tofauti na alivyoniambia[emoji23], kwingine niliambiwa kila mgeni akija lazima nimtambulishe kwake, bt ni kwa neema tu tumebarikiwa, vipi kwako ilikuwaje[emoji3526]
Hiyo ya kwanza ni kubwa kuliko[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom