Je, ni kitu gani mwenye nyumba aliwahi kukukataza usikifanye?

Sewer pit, cesspool, cesspit...... Basi mwenye nyumba angu anaita simtank[emoji16][emoji16]... Na ukiwa na wageni anawauliza nyie ni kina nani
Ooh tatizo sasa [emoji23]
 
Mimi alikuwa ananiita kwenye chumba chake kumuwekea balbu na mama mwenye nyumba alikuwa hana mume.
Mtihani sheikh!!
 
Hapa naendelea kujifunza na mimi nikiwa na nyumba yangu nipate masharti ya kuwapa wapangaji wangu.Sharti la kwanza ukipika kuku lazima paja moja nile mimi...
 
Nimpe details za kila mgeni wa kiume anayenitembelea
 
Nisifunge mlango usiku wkt nimelala!
 
Kuna wenye nyumba kero yao imezidi
 
Alinikataza kuondoa hirizi niliyokuta inaning'inia chumbani.
 
Ooh tatizo sasa [emoji23]
Alisikitika nilivyomwambia sitalipia Kodi Tena..ninahama... Akisema hakuwahi pata mpangaji asiyesumbua Kama Mimi atanimisi KWELI.... alikuwa MWANGA๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hapa naendelea kujifunza na mimi nikiwa na nyumba yangu nipate masharti ya kuwapa wapangaji wangu.Sharti la kwanza ukipika kuku lazima paja moja nile mimi...
[emoji1787] utakaa mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ