Je, ni kosa kuoa mwanamke mwenye mtoto?

Je, ni kosa kuoa mwanamke mwenye mtoto?

Vvip

Senior Member
Joined
Apr 7, 2016
Posts
190
Reaction score
87
Jamani mimi ni kijana na nina ndoto ya kuja kuwa na familia, lakini ninachojiuliza ni kosa kuoa mwanamke mwenye mtoto?
 
ya nini ung'ang'anie koloni la mtu?
Haina haja ila inatakiwa kujiuliza mwenye koloni mbona kalipa uhuru kwani linashida gani ulichukuwe,,na ukicheki koloni lenyewe linamadini
 
Haina haja ila inatakiwa kujiuliza mwenye koloni mbona kalipa uhuru kwani linashida gani ulichukuwe,,na ukicheki koloni lenyewe linamadini
Hicho ndio unachokitaka

Utapewa hadi UKIMWI boya wewe
 
Dragoon, unachokisema ni sawa ila inatakiwa nijiulize mara 2 2 ama nn????
 
Haina shida ila muhimu ujue kwa nini yuko single na ana mtoto?

Ama alikuwa macho juu juu akapigwa kitu shuleni

Ama alikuwa waya mkali kitaa akatumia papuchi ili mkono uende kinywani

Ama anapenda sana hii kitu hii/ yaani ndio furaha yake

Lakini kubwa zaidi kupata mimba ina maana alitoa mnofu yaani hakujali. Sasa vipi ndani ya ndoa asije kumpa mnofu muuza samaki, msugua kucha, muuza genge, dereva bodaboda..... Kwani wanawake wana akili basi!?
 
Siyo kosa... ila ukubaliane kwamba huyo mtoto ana baba yake.. na huyo baba yake atatakiwa kiwasiliana na mama mtoto jinsi ya kumlea na kukumkuza huyo mtoto... na hata kuongeza mwingine inapobidi...
Sasa kama baba alitelekeza mimba mpaka mtoto,hapo kutakuwa na mawaailiano kweli??????
 
Back
Top Bottom