Joao de Matos
JF-Expert Member
- Jun 16, 2022
- 334
- 268
Mimi siwei kabisa hata Kama baba wa mtoto wake kafariki .Duuh mwamba ana roho ngumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi siwei kabisa hata Kama baba wa mtoto wake kafariki .Duuh mwamba ana roho ngumu
Of course it isJamani mimi ni kijana na nina ndoto ya kuja kuwa na familia, lakini ninachojiuliza ni kosa kuoa mwanamke mwenye mtoto?
Duuh mwamba ana roho ngumu
sio kosa kama mmependana mnaoana tuJamani mimi ni kijana na nina ndoto ya kuja kuwa na familia, lakini ninachojiuliza ni kosa kuoa mwanamke mwenye mtoto?
Labda nianze kukuliza namm swali kati ya mwanamke aliezaa na mwanamke alie toa mimba mbili mpaka tatu utamchagua kumuoa yupi?. Kwa mtazamo wangu asilimia kubwa ya mabinti wa sasa wakifikisha umri wa miaka ishirini mpaka ishirini na tano wanakuwa wameshaza na kama sio kuzaa basi ameshatoa mimba mpaka mbili na ndomana badae anakwambia kizazi kinamsumbua kumbe alishatoa viumbe huko nyuma. Point yangu ni kwamba hakuna mkamilifu duniani unaweza ukaoa asiezalishwa na ukapigiwa na watu wengine vilevile kikubwa msome mwenza wako kama anaweza kuwa mama familia na kama hana mpango huo achana nae haraka, pia mwangalie ana mitazamo chanya kuna wanawake wazuri wameza na watu ambao sio sahihi na hawakujua kama sio sahihi mpaka walipozaa nao kwahiyo play your part as a responsible man. Be honorableJamani mimi ni kijana na nina ndoto ya kuja kuwa na familia, lakini ninachojiuliza ni kosa kuoa mwanamke mwenye mtoto?