Je, ni kosa kuoa mwanamke mwenye mtoto?

Je, ni kosa kuoa mwanamke mwenye mtoto?

Sasa kama baba alitelekeza mimba mpaka mtoto,hapo kutakuwa na mawaailiano kweli??????
Jitie moyo tu,kwani unampa sh ngapi mpaka atakapotokea na visentu vyake akatae kwaajili yako?simu zikipigwa anaongea kiluga au anaenda kuzungumzia mbali.mtoto alama ya mtu na uthibitisho pekee kama alipiga,..
 
Wadau ushauri wenu ni mzito sana maamuzi magumu nitayafanya tu.
 
ya nini ung'ang'anie koloni la mtu?
Mbona wanawake wanaolewa na wanaume wenye watoto? Saingne mimba walipata bht mbaya ktk tyriii ama bdo na uwezo na akili ya kutoa walikuwa hawana nk. Cha msingi ni maelewano yenu na vema akimchukuwa na mwanae ili kumtuliza asiwaze kutoka kwenda kumuona mwanaye na aishi nawe kwa amani.
 
Siyo kosa, na ukioa mwenye mtoto utabarikiwa sana
Kwa kawaida kule kwetu tunaoleana na kuzaliana watoto bila tatizo ili mradi miiko yetu inafuatwa. Nyie wa mijini mna mengi mpaka abortions za hovyo na kuoleana wakati mwenye mke yu mzima bado.

Mna kazi kwelikweli.
 
Nazidi kupata madini,lakini pamoja na hayo mtu anakuonyesha upendo na kukujali kabisa,na mwanaume alishakimbia mimba mpaka mtoto keshakuwa na umri wa miaka 5,je ni rahisi kwa huyu mwanamke kumrudia njemba wake??????
Moyo unaujua unausikia? Bora Figo, ini na firigisi sio moyo....
 
Kaka kama unaona mwenye Mtoto shidaaa Fanta Jitihada Muoe Mwema Sepetu hana miimba wala Mtoto Wa kusingizia..mtaanza fresh...Si m nataka mdanganywe Eti mnaenda kwa wasio Na Watoto kumbeee ni wauaji Wa kuubwa wameuaa viumbe..bora mkweli Na mwenye hofu ya kutokuua kumbe akazaa..wanaotoaa?? Hata kawaoeni haoo Pasua Vichwa.Mi Nina ushahidi tena mkubwa..MTU kaka ninyi fresh yaani hakuzaa kabla ila Miimba iikawa haishikii..kuzungukaaa Ma hospital Kizazi kiliharibiwa kwa kuchoropoaa so amekua amepoteza muda Na Pesa...Kurudi nyuma haoo wanasema usioe mwanamke mwenye Mtoto ukiwachunguza saana Wao ndoo waliozalisha wakiwa mashuleni ma chuoni mtaani ..halafu wakasema..Leo hii Wa nakuja humu Eti msioe mwenye watoto...Huoo ni UCHAWI Wa mchana kweupe....Ivi tuseme ukweli ninyi baadhi yenu hamjalelewa Na single mothers Baada ya Baba Zenuu msiowajua kuwakimbiaa mama zetu wakajifunga mikanda mkiwa mmebebwa migongoni wakauza matunda wakauza maandazi mihogo kichwani mkafika nlipo Leo??ni kipindi Hasa kinachowasukuma Kuna Hapa kusema those nonsense! You Boy..wherever you are respect Single mothers!!!
 
jua kwanza nini kilimuachanisha na huyo mpenzi wake kama kisa chenyewe ni serious oa tu maana usije kuwa unagonngewa
 
NIMEFUATILIA SANA HUU UZI ILA NIMEGUNDUA YAFUATAYO:-

1- WENGI WANAPINGA KUOA MWANAMKE ALIYEKWISHA ZAA NA ANA MTOTO NA MWANAUME MWENGINE.
2-WENGI WANAOPINGA HOFU YAO KUBWA NI KUWA WALIOKWISHA ZAA WATAENDELEA KUWASILIANA KUHUSU MTOTO
3- WENGI WANAOPINGA HOFU YAO KUBWA NA MBAYA ZAIDI NI WALIOKWISHA ZAA WATAKUWA WANAENDELEA KUTIANA AU KUJAMIIANA WAKATI WEWE ULIYEOA UNAKUWA UNAIBIWA KWA KISINGIZIO CHA WANAJADILI AU KUPANGA MALEZI YA WATOTO.

MARA NYINGI MIE HUWA NAPENDA KUJADILI HOJA JUU YA HOJA NA KWA HOJA NZITO ZAIDI.
1- WENGI WANAPINGA KUOA MWANAMKE ALIYEKWISHA ZAA NA ANA MWANAUME MWENGINE.....HAPA SIJAONA SABABU YA KUPINGA ZAIDI YA MYTH AU HABARI ZA KUSIKIA KWA WAHENGA AU WATU WA KALE...NAAMINI HIZI MYTH NI KATI YA KINGA ZILIZOTUMIKA ILI KUWA DISCHARAGE WANAWAKE WASIZAE NJE YA NDOA AS HAWATOKUJA KUOLEWA TENA...MUNAKUMBUKA MYTHS KAMA ZA WANAWAKE WAJAWAZITO WASILE NYAMA MAYAI MAINI NA VYAKULA VINGINE VYENYE PROTEIN KWAKUWA WATAZAA WATOTO WASIO NA NYWELE AU WATAKUFA WAKATI WA KUZAA?

2-WENGI WANA HOFU JUU YA WAZAZI KUENDELEA KUWASILIANA... HAPO BADO SIONI HOJA YA MSINGI...VIP KAMA MZAZI WAKE KAFARIKI AU ALIMTELEKEZA NA HAJULIKANI ALIPO?... VIPI PIA KAMA HAQTA ALIYEMPATIA HIYO MIMBA HAMJUI?..AU MUMESAHAU KUNA WANAWAKE HUWA HAWAWAJUI BABA ZA WATOTO. FINE...WANAWASILIANA NA MZAZI MWENZIE ANALIPIA HUDUMA ZA MWANAE KUNA TATIZO GANI HAPO?

3-WENGI WANAOPINGA WANAHOFIA WALIOKWISHA ZAA WATAENDELEA KUTIANA AU KUJAMIIANA....ASILIMIA 99 YA HOFU IKO HAPA. NAOMBA UJIULIZE...JE WOTE WALIOZAA KABLA YA KUOLEWA NDIO WANAOTOKA NJE YA NDOA ZAO?... MBONA TABIA YA KUTOKA NJE YA NDOA NI HULKA YA MTU NA TABIA YAKE BINAFSI KULIKO SIFA YA KUZAA KABLA YA NDOA?... JE WANAUME WOTE WALIO-NA WATOTO NJE YA NDOA BADO MUNATEMBEA NA WAZAZI WENZA WENU?..KUHITIMISHA HOJA HII NAOMBA KWA YEYOTE ALIYEOA MWANAMKE "ASIYE-BIKIRA" BASI AJIANDAE KUGONGEWA NA MWANAUME ALIYEMTOA BIKIRA MKEWE....MUPO HAPO MUNAOAMINI KATIKA MTAZAMO HUU?....MAANA HUYU ALIYEZAA ANAO-USHAHIDI WA MTOTO KUWA KUNA JAMAA ALIYEMTIA MPAKA AKAPATA MIMBA....NA YULE ASIYE NA BIKIRA BADO NI USHAHIDI TOSHA KUWA ANAZIJUA DUDU NDIO MAANA HANA KIWAMBO....KWA HIYO MZAZI NA ASIYE NA BIKIRA SIFA YAO NI MOJA NA HAWAFAI KUOLEWA SABABU WATAKUWA WANATIWA NA MIJAMAA ILIYOANZA KUWATIA HUKO NYUMA.

HITIMISHO....TUSIWE WATU WA KUHUKUMU SANA KWA MATOKEO NA HISIA ZISIZO NA MASHIKO...GENERALISATION PRINCIPLES HUWA HAZISAIDII KITU ZAIDI YA KUHARIBU TUU....DOGO AS LONG AS UNAPENDANA NA MAMA/ BINTI ALIYEKWISHA ZAA MUOE ISHI NAYE NA MUNGU AWABARIKI WATOTO WENGI KAMA MCHANGA WA BAHARI NA WA KIKE KAMA NYOTA ZA ANGANI.
 
Asante sana nimeipenda hii
 
Jamani mimi ni kijana na nina ndoto ya kuja kuwa na familia,lakini ninachojiuliza ni kosa kuoa mwanamke mwenye mtoto.
Ukithibitisha kuwa aliyezaa naye alishafariki oa.....otherwise subiria kuchapiwa
 
Angalia vp unaustahamilivu kiasi gani shart umpende huyo mtoto ndio na wewe utarudishiwa fadhila
 
Mkuu wanawake woooote hao hujaona mpaka uoe mwenye mtoto itakula kwako mkuu.
 
Jamani mimi ni kijana na nina ndoto ya kuja kuwa na familia,lakini ninachojiuliza ni kosa kuoa mwanamke mwenye mtoto.
If you think you deserve.. then move on...
lakini mpende sana mtoto wake sawa sawa na mtoto wako.
 
Back
Top Bottom