Je, ni kosa kuoa mwanamke mwenye mtoto?

Je, ni kosa kuoa mwanamke mwenye mtoto?

Kaka kama unaona mwenye Mtoto shidaaa Fanta Jitihada Muoe Mwema Sepetu hana miimba wala Mtoto Wa kusingizia..mtaanza fresh...Si m nataka mdanganywe Eti mnaenda kwa wasio Na Watoto kumbeee ni wauaji Wa kuubwa wameuaa viumbe..bora mkweli Na mwenye hofu ya kutokuua kumbe akazaa..wanaotoaa?? Hata kawaoeni haoo Pasua Vichwa.Mi Nina ushahidi tena mkubwa..MTU kaka ninyi fresh yaani hakuzaa kabla ila Miimba iikawa haishikii..kuzungukaaa Ma hospital Kizazi kiliharibiwa kwa kuchoropoaa so amekua amepoteza muda Na Pesa...Kurudi nyuma haoo wanasema usioe mwanamke mwenye Mtoto ukiwachunguza saana Wao ndoo waliozalisha wakiwa mashuleni ma chuoni mtaani ..halafu wakasema..Leo hii Wa nakuja humu Eti msioe mwenye watoto...Huoo ni UCHAWI Wa mchana kweupe....Ivi tuseme ukweli ninyi baadhi yenu hamjalelewa Na single mothers Baada ya Baba Zenuu msiowajua kuwakimbiaa mama zetu wakajifunga mikanda mkiwa mmebebwa migongoni wakauza matunda wakauza maandazi mihogo kichwani mkafika nlipo Leo??ni kipindi Hasa kinachowasukuma Kuna Hapa kusema those nonsense! You Boy..wherever you are respect Single mothers!!!
Bro asante sana,kwa ushauri wako,na kusema ukweli sijawahi kuona upendo wa dhati kama ninavyouona kwa huyu dada,ki ukweli namuheshimu mno na hii inatokana na nidhamu yake.
 
Inategemea wameachana katika misingi gani kuna mwingine alibakwa akapata hiyo mimba, kuna mwingine walikuwa wanakula ujana hasa mapenzi ya chuo na watoto wa sekondari ujue hapo ndoa hamna na pia kama imetokea binti mwenyewe alikuwa kicheche so mshikaji akaona hafai kuwekwa ndani, haya yote ni ya kuzingatia wakati unataka kuoa mwanamke mwenye mtoto.

ila kwa kifupi usiwaze mapenzi hajalishi sana ilimradi mpendane na wewe uwe tayar kutoa malezi kwa mtoto husika au kama baba yake yupo amchukue mwanaye amlee ili kuondoa mawasiliano ya karibu na mkeo
 
Mimi kuoa mwanamke mwenye labda baba wa mtoto awe amefariki na sitaamini mpaka nilione kabuli lake.....
 
Back
Top Bottom