Je, ni kosa kuoa mwanamke mwenye mtoto?

Je, ni kosa kuoa mwanamke mwenye mtoto?

Safi
Haina shida ila muhimu ujue kwa nini yuko single na ana mtoto?

Ama alikuwa macho juu juu akapigwa kitu shuleni

Ama alikuwa waya mkali kitaa akatumia papuchi ili mkono uende kinywani

Ama anapenda sana hii kitu hii/ yaani ndio furaha yake

Lakini kubwa zaidi kupata mimba ina maana alitoa mnofu yaani hakujali. Sasa vipi ndani ya ndoa asije kumpa mnofu muuza samaki, msugua kucha, muuza genge, dereva bodaboda..... Kwani wanawake wana akili basi!?

sana kiongozi nimekukubali
 
Kwani heshima inapatikana kwa kuoa tu?

Hakuna waliooa ila hawana heshima?
Majukumu je..ukikua unatakiwa uface majukumu and ur fears
Siku mfano unaumwa hoiii umelazwa utaogeshwa na mama au mke?jitafakari
 
Sio kosa bali ni mistake... Hakuna mahali utashtakiwa kwa kuwa umeoa mwanamke mwenye mtoto. Watu wanachoogoa ni ile divided attention. Yani si sawa sawa na Yanga kulea wanachama wa Simba...
 
Kwa mfano mimi jinsi nilivyo na wivu najua itaniwia vigumu sana kulea mtoto wa mwanaume mwenzangu...
 
Majukumu je..ukikua unatakiwa uface majukumu and ur fears
Siku mfano unaumwa hoiii umelazwa utaogeshwa na mama au mke?jitafakari
Wanaoface majukumu ni waliooa tu? Ambao hawajaoa hawaface hayo majukumu?

Kuhusu kuumwa sio lazima mtu ahudumiwe na mke tu. Je wale ambao wake zao walishatangulia mbele za haki,hawahudumiwi wanapolazwa?
 
Wanaoface majukumu ni waliooa tu? Ambao hawajaoa hawaface hayo majukumu?

Kuhusu kuumwa sio lazima mtu ahudumiwe na mke tu. Je wale ambao wake zao walishatangulia mbele za haki,hawahudumiwi wanapolazwa?
Ingine ni mapenzi kwa mwanamke wako na familia mtakayoitengeneza
Hopefully ipo siku utaona umuhimu /sababu ya kuoa,
 
Aisee mwenye mtoto na yule umri umeenda ni majangaaaa
 
Awe Na mtoto asiwe na mtoto cha kuangalia ni tabia yake tu. Unaweza ukaoa mwanamke asiyezaa Na bado akachepuka tu na Ma ex wake. Ww angalia moyo wako Kama umempenda kweli oa tu
 
prado mpya na iliyokwisha tumika unapenda ipi?
Kama mpya hazipo chukua used one bcz wazazi cku zote n wazaz tu.watu wakishapata mtoto naturally ujue kwamba hao ni wapenz.n jamaa akija anaposibility kubwa sana ya kujipigia.
 
Kuoa mwanamke aliye na mtoto sio kosa ila lazima utapata jakamoyo hapo baadae maana iwe isiwe lazima mawasiliano na baba mtoto yatakuwepo hata kama waligombana kwa mapanga na bunduki ipo siku watakuja wasiliana kwa ajili ya mtoto. Kama ikiwezekana muepuke ila kama ukiendelea naye kuwa tayari kuumia moyo au ujiandae kisaikolojia mapema. Waone wazee ambao si ndugu zake watakushauri vizuri kwenye ili ila ungekuwa umekuja kwangu kuomba ushauri ningekwambia usimuoe
 
kwani wasio na watoto wameisha mpaka ukimbilie mwenye mtoto? huamini kama utazaa au?
 
kuoa mwanamke mwenye mtoto sio tatizo coz hata ambao hawana watoto wengi wao wametoa mimba nyingi tu na bado hawana bikra angalau huyo mwenye mtoto anaonyesha kabisa ana kizazi
 
Jamani mimi ni kijana na nina ndoto ya kuja kuwa na familia,lakini ninachojiuliza ni kosa kuoa mwanamke mwenye mtoto.
Ni kwa vile tuu hamjui behind the scene ya hawa watoto, hapo awali nilidhania hivyo pia lakini kwa jonsi ilivyo inafika mahali unakubaliana na Hali ya kuendelea na life yako na mwanao pasipo mwanaume, hawa viumbe ni sheeeedra
 
Kwa upande wangu sikushauri,ukioa mwenye mtoto ujiandae kwa maumivu,mi ni shahidi.nina watoto watatu wa mama tofauti,kati yao wawili wameolewa ila bado nawamegs tu.wazazi hawaachani hata kama waligombana,kumbuka mzazi mwenzio humtongozi mara ya pili
 
Kubali kua babu jinga huko mbele,kazi yako itakua kuinama ufikiri
 
Back
Top Bottom