Khaa! Wengine huwa wanamadepe hata ufanyeje hawasikii..,niliwahi kukutana na mmoja akaniambia eti "siwezi kusikia mpaka mtu mwenye nguvu'' nikapigwa na butwaa inamaana sina nguvu na kupiga kote huku alafu yee mwenyewe mambo yake ni ilikuwa km ndoo ya lita 40,taabu kweli.