Je, ni kupanuka uke... au kibamia changu?

Je, ni kupanuka uke... au kibamia changu?

Khaa! Wengine huwa wanamadepe hata ufanyeje hawasikii..,niliwahi kukutana na mmoja akaniambia eti "siwezi kusikia mpaka mtu mwenye nguvu'' nikapigwa na butwaa inamaana sina nguvu na kupiga kote huku alafu yee mwenyewe mambo yake ni ilikuwa km ndoo ya lita 40,taabu kweli.

ahahaaahahaaa....bro mi mwenyewe nlishawahi kukutana na mtu ka huyo duuuuh!!! mbona nili dataaaa.....
 
Ninaomba msaada wa kitaalamu. Nimeshindwa kujua kama ni uke wa wife ndo umepanuka au mie ndo nina kibamia! Huu ni mwaka wa 10 ndani ya ndoa tuna watoto 4 na tayari tumefunga uzazi miaka 3 ilopita. Mwenzangu hunilaumu simridhishi. nami nahisi sipati raha halisi na hivo napiga kamoja tu na kulala... Msaada wa mawazo plse!

Hujui kutenda tu. Kibamia, kimbirimbi au red bull si tatizo.

cc. lara 1
 
Last edited by a moderator:
Pole braza hapi kuchapiwa siri ya ndani. Dawa yake mwambie mkeo afanye mazoezi ya kumbana mkojo hata nusu saa nzima aimalishe pc masoz itakuokoa akizingatia ndani ta mwezi mmoja
 
Back
Top Bottom