Francis Dhuo
Member
- Feb 25, 2014
- 87
- 13
Khaa! Wengine huwa wanamadepe hata ufanyeje hawasikii..,niliwahi kukutana na mmoja akaniambia eti "siwezi kusikia mpaka mtu mwenye nguvu'' nikapigwa na butwaa inamaana sina nguvu na kupiga kote huku alafu yee mwenyewe mambo yake ni ilikuwa km ndoo ya lita 40,taabu kweli.
ahahaaahahaaa....bro mi mwenyewe nlishawahi kukutana na mtu ka huyo duuuuh!!! mbona nili dataaaa.....