johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Kuna picha nimeziona kupitia Clouds TV zikiwaonyesha wachezaji wa Simba wakiwa wamelala usingizi bungeni wakati kikao kinaendelea na wao wakiwa ni wageni wa Spika.
Ingekuwa aliyeuchapa usingizi ni mchezaji mmoja nisingeanzisha uzi wa swali lakini ni zaidi ya wachezaji watano na mmoja alijifunika kabisa kwa jacket la michezo.
Ndio nauliza bunge linaboa au ndumba zilizidiana ukumbini?
Maendeleo hayana vyama!