Je, ni kupooza kwa Bunge ndio kuliwafanya wachezaji wa Simba SC walale usingizi Bungeni?

Je, ni kupooza kwa Bunge ndio kuliwafanya wachezaji wa Simba SC walale usingizi Bungeni?

Kama Bunge linaboa kwanini walale wao tu?

Ni kokasa umakini tu.
Ni kweli ni kukosa umakini mle ndani ya bunge mna washabiki wao mawaziri na wabunge hivi unaalikwa nyumbani kwa mtu shabiki wako halafu unaenda kulala!!!! Simba vichwa vyao vimejaa mafungu ya nyanya mbovu zinazopangwa na machinga mbele ya jengo lao pale msimbazi
 
Wabunge wenyewe na baadhi ya mawaziri wanalala itakua timu chapa paka wasilale?
Kwa msisimko gani lakini Hadi watu wasilale. Kina mzee Halima ndio hao wanaumwa midomo, ukiwaangalia Hadi wanatia huruma.
 
Kuna sehemu nimesema walitakiwa kutoa hoja ama majibu? kualikwa sehemu kisha ukaenda kusinzia haileti picha nzuri,kama waliona hakuna cha maana wangetoka nje kuliko kusinzia,Bila shaka umecomment kwa mihemko ya ushabiki wa uteam.
Kusinzia kitu gani wabunge wenye shuhuli yao huwa wanalala kabisa. Hata hivyo wale ni team ya soka na kazi yao ni uwanjani kama walivyofanya leo pale Jamhuri
 
tmp-cam-353403237.jpg

Bunge gani tena jamani?
 
Hapana, walisafiri alfajiri sana kama saa 10, ili kuwahi kikao cha bunge cha asubuhi. Ilikuwa ni uchovu wa kuwahi kuamka
 
Hapana, walisafiri alfajiri sana kama saa 10, ili kuwahi kikao cha bunge cha asubuhi. Ilikuwa ni uchovu wa kuwahi kuamka
Ni kweli.

Jana nilienda Dodoma kwa mishe zangu binafsi nilipanda nao Bombadia.....

Bombadia iliondoka Julius Nyerere saa 12 kamili asubuhi Dom tukafika saa 1 kasoro......sasa kama check in ilikua saa 11 kamili...imagine waliamka sangapi ili kuwahi airport.

So kama walisinzia sio mbaya maana walitakiwa wakorome kabisa.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Kuna picha nimeziona kupitia Clouds TV zikiwaonyesha wachezaji wa Simba wakiwa wamelala usingizi bungeni wakati kikao kinaendelea na wao wakiwa ni wageni wa Spika.

Ingekuwa aliyeuchapa usingizi ni mchezaji mmoja nisingeanzisha uzi wa swali lakini ni zaidi ya wachezaji watano na mmoja alijifunika kabisa kwa jacket la michezo.

Ndio nauliza bunge linaboa au ndumba zilizidiana ukumbini?

Maendeleo hayana vyama!
Wali maharage ndio kilichosababisha


Yupo pale Gwajima boy bunge haliwezi kupooza


Unamsikia Niwivu tu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni kweli.

Jana nilienda Dodoma kwa mishe zangu binafsi nilipanda nao Bombadia.....

Bombadia iliondoka Julius Nyerere saa 12 kamili asubuhi Dom tukafika saa 1 kasoro......sasa kama check in ilikua saa 11 kamili...imagine waliamka sangapi ili kuwahi airport.

So kama walisinzia sio mbaya maana walitakiwa wakorome kabisa.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Inasemekana mmoja aliachia kaushuzi usingizini!
 
Back
Top Bottom