johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Hahahaaaa! Labda walilewa juzi!Kama Bunge linaboa kwanini walale wao tu?
Ni kokasa umakini tu.
Kukosa umakini kwani kuna hoja walitakiwa kutoa ama kujibu?. Bunge linaboa na wao kama wageni waliona hakuna cha maana bora wapumzike tuKama Bunge linaboa kwanini walale wao tu?
Ni kokasa umakini tu.
Nahisi ni matumizi ya Lugha ya kiswahili iliwafanya walale. Maana wengi walioonekana wamelala ni wale maproo. Au nasema uongo ndugu zanguni?Hahahaaaa! Labda walilewa juzi!
Nimekuelewa bwashee!Nahisi ni matumizi ya Lugha ya kiswahili iliwafanya walale. Maana wengi walioonekana wamelala ni wale maproo. Au nasema uongo ndugu zanguni?
Kuna sehemu nimesema walitakiwa kutoa hoja ama majibu? kualikwa sehemu kisha ukaenda kusinzia haileti picha nzuri,kama waliona hakuna cha maana wangetoka nje kuliko kusinzia,Bila shaka umecomment kwa mihemko ya ushabiki wa uteam.Kukosa umakini kwani kuna hoja walitakiwa kutoa ama kujibu?. Bunge linaboa na wao kama wageni waliona hakuna cha maana bora wapumzike tu
Nimekuelewa bwashee.Kuna sehemu nimesema walitakiwa kutoa hoja ama majibu? kualikwa sehemu kisha ukaenda kusinzia haileti picha nzuri,kama waliona hakuna cha maana wangetoka nje kuliko kusinzia,Bila shaka umecomment kwa mihemko ya ushabiki wa uteam.
Hawa wachezaji watakuwa wafuasi wa Ufipa!Mbunge linaboa mno, ukiweka tena na undugai ndani, basi ni kama makande ya juzi.
Ndefu nyingi.Kweli walilala, mwingine alijiwekea mkono chini ya kichwa yaani kalala ana ndefu nyingi.
Aibu niliona mimi.
Simba walilewa njwii kabla kwenda bungeni timu ya wachezaji walevi hiyo yanga tu ndio wanajielewaHahahaaaa! Labda walilewa juzi!
Morrison!Kweli walilala, mwingine alijiwekea mkono chini ya kichwa yaani kalala ana ndefu nyingi.
Aibu niliona mimi.