Ni kweli ni kukosa umakini mle ndani ya bunge mna washabiki wao mawaziri na wabunge hivi unaalikwa nyumbani kwa mtu shabiki wako halafu unaenda kulala!!!! Simba vichwa vyao vimejaa mafungu ya nyanya mbovu zinazopangwa na machinga mbele ya jengo lao pale msimbaziKama Bunge linaboa kwanini walale wao tu?
Ni kokasa umakini tu.
Picha inachefua mpwa. Waliokwenda na paka wawili weusi ti.Picha tafadhali
Kusinzia kitu gani wabunge wenye shuhuli yao huwa wanalala kabisa. Hata hivyo wale ni team ya soka na kazi yao ni uwanjani kama walivyofanya leo pale JamhuriKuna sehemu nimesema walitakiwa kutoa hoja ama majibu? kualikwa sehemu kisha ukaenda kusinzia haileti picha nzuri,kama waliona hakuna cha maana wangetoka nje kuliko kusinzia,Bila shaka umecomment kwa mihemko ya ushabiki wa uteam.
Ni kweli.Hapana, walisafiri alfajiri sana kama saa 10, ili kuwahi kikao cha bunge cha asubuhi. Ilikuwa ni uchovu wa kuwahi kuamka
Wali maharage ndio kilichosababishaKuna picha nimeziona kupitia Clouds TV zikiwaonyesha wachezaji wa Simba wakiwa wamelala usingizi bungeni wakati kikao kinaendelea na wao wakiwa ni wageni wa Spika.
Ingekuwa aliyeuchapa usingizi ni mchezaji mmoja nisingeanzisha uzi wa swali lakini ni zaidi ya wachezaji watano na mmoja alijifunika kabisa kwa jacket la michezo.
Ndio nauliza bunge linaboa au ndumba zilizidiana ukumbini?
Maendeleo hayana vyama!
Inasemekana mmoja aliachia kaushuzi usingizini!Ni kweli.
Jana nilienda Dodoma kwa mishe zangu binafsi nilipanda nao Bombadia.....
Bombadia iliondoka Julius Nyerere saa 12 kamili asubuhi Dom tukafika saa 1 kasoro......sasa kama check in ilikua saa 11 kamili...imagine waliamka sangapi ili kuwahi airport.
So kama walisinzia sio mbaya maana walitakiwa wakorome kabisa.
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app