Pre GE2025 Je, ni kwamba Rais hajui kuwa Dkt. Slaa anasota jela kwa makosa yanayo dhaminika?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Najiuliza tu sipati jibu. Ni KWELI kuna mihimili mitatu, Dola, Mahakama na Bunge, mihimili hii haiingiliani, Ila kwa mujibu wa kauli ya rais wa awamu ya tano, kuna mhimili mmoja una mizizi mirefu sana hadi mizizi hiyo inaingia kwenye mihimili mingine.

MBOWE na kina @adamoo walipokuwa wakihenyeshwa na kesi ya ugaidi, rais aliweza kuingilia muhimili wa Mahakama na kuamuru kesi ya MBOWE na wenzake ifutwe.

Kesi ikafutwa, kituo cha kwanza cha MBOWE ikawa ni kwenda ikulu.

Mzee Slaa ana miaka 76, yuko magerezani, anasota, je mama huyu mpenda haki, ambaye ana taasisi ya kisheria ya kupania haki kwa wanyonge, anashindwaje kumtoa Slaa jela?

Slaa atoke jela, kesi yake iendelee akiwa uraiani.

Huo ndio uungwana, hata tusio wapenda tuwape haki na stahili zao.
 
Naunga mkono hoja.....huyu Mzee wanamtesa bure tu.
 
Kwani slaa ana upekee upi kwamba yeye asistahili kusota jela?

Naunga mkono ashikishwe adabu
 
Back
Top Bottom