Issue kubwa ni kwamba kosa wanalomtuhumu lina dhamana pia bado wanaomtuhumu hawajakamilsha ushahidi sasa kwanini bado anaendelea kukaa rumande?Raisi anahusikaje na mahakama si mwanasheria yule ajitoe!
Umeelewa hapo kipara cha zamani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Issue kubwa ni kwamba kosa wanalomtuhumu lina dhamana pia bado wanaomtuhumu hawajakamilsha ushahidi sasa kwanini bado anaendelea kukaa rumande?Raisi anahusikaje na mahakama si mwanasheria yule ajitoe!
Kwa hiyo MBOWE sio mwananchi wa kawaida?Bc na wananchi wa kawaida nao kesi zao ziingiliwe kati na rais
Upelelezi haujakamilika, hivyo anayetuhumiwa kukashifiwa hajatajwaKwani anatuhumiwa kumkashifu nani?
CCM mmemtumia, sasa mnaona hawafai tenaKwani slaa ana upekee upi kwamba yeye asistahili kusota jela?
Naunga mkono ashikishwe adabu
Adhaminiwe ,Upelelezi haujakamilika, hivyo anayetuhumiwa kukashifiwa hajatajwa
Huyo ni Chadomo,angekuwa CCM asingethubu kumchafua Rais Kwa maslahi ya kibaraka LisuCCM mmemtumia, sasa mnaona hawafai tena
MmhhMAMA SAMIA LEGAL AID
Dunia ya hovyo sana, juzi juzi huyu mzee alikuwa anakula maisha Sweden! leo ananyea ndio.Najiuliza tu sipati jibu. Ni KWELI kuna mihimili mitatu, Dola, Mahakama na Bunge, mihimili hii haiingiliani, Ila kwa mujibu wa kauli ya rais wa awamu ya tano, kuna mhimili mmoja una mizizi mirefu sana hadi mizizi hiyo inaingia kwenye mihimili mingine.
MBOWE na kina @adamoo walipokuwa wakihenyeshwa na kesi ya ugaidi, rais aliweza kuingilia muhimili wa Mahakama na kuamuru kesi ya MBOWE na wenzake ifutwe.
Kesi ikafutwa, kituo cha kwanza cha MBOWE ikawa ni kwenda ikulu.
Mzee Slaa ana miaka 76, yuko magerezani, anasota, je mama huyu mpenda haki, ambaye ana taasisi ya kisheria ya kupania haki kwa wanyonge, anashindwaje kumtoa Slaa jela?
Slaa atoke jela, kesi yake iendelee akiwa uraiani.
Huo ndio uungwana, hata tusio wapenda tuwape haki na stahili zao.
Mkuu Kuwa makini yana mwisho haya. Jifunze kwa Sabaya na Musiba. Jeuri ile bado ipo?Huyo ni Chadomo,angekuwa CCM asingethubu kumchafua Rais Kwa maslahi ya kibaraka Lisu
Mimi sitegemei ccm ku survive mbona? 🤣🤣Mkuu Kuwa makini yana mwisho haya. Jifunze kwa Sabaya na Musiba. Jeuri ile bado ipo?
Unadhani wewe una jeuri kuliko aliyokuwa nayo Nape? Au Makonda?
Mimi nakukumbusha tu kuna maisha umaarufu ukifika mwisho
Ameongea sana, aliandika hadi barua official ya Tanganyika Law Society kulaani dhuluma ya haki DHIDI YA SlaaDunia ya hovyo sana, juzi juzi huyu mzee alikuwa anakula maisha Sweden! leo ananyea ndio.
Kizimkazi anamkomoa hasira za kupingwa kwa DP World. Hivi Mwabukusi ameongea lolote kuhusuana na sakata hili la kuminywa haki ya dhamana?
Slaa hana adabu ana mdomo mchafu iwe fundisho na kwa wengineNajiuliza tu sipati jibu. Ni KWELI kuna mihimili mitatu, Dola, Mahakama na Bunge, mihimili hii haiingiliani, Ila kwa mujibu wa kauli ya rais wa awamu ya tano, kuna mhimili mmoja una mizizi mirefu sana hadi mizizi hiyo inaingia kwenye mihimili mingine.
MBOWE na kina @adamoo walipokuwa wakihenyeshwa na kesi ya ugaidi, rais aliweza kuingilia muhimili wa Mahakama na kuamuru kesi ya MBOWE na wenzake ifutwe.
Kesi ikafutwa, kituo cha kwanza cha MBOWE ikawa ni kwenda ikulu.
Mzee Slaa ana miaka 76, yuko magerezani, anasota, je mama huyu mpenda haki, ambaye ana taasisi ya kisheria ya kupania haki kwa wanyonge, anashindwaje kumtoa Slaa jela?
Slaa atoke jela, kesi yake iendelee akiwa uraiani.
Huo ndio uungwana, hata tusio wapenda tuwape haki na stahili zao.
🤣🤣🤣 sawaMimi sitegemei ccm ku survive mbona? 🤣🤣
Au yuko kikaziDr. Slaa yuko ndani kwa amri ya Samia, atatoka siku Mama atakapopendezwa.
So sad 😞Najiuliza tu sipati jibu. Ni KWELI kuna mihimili mitatu, Dola, Mahakama na Bunge, mihimili hii haiingiliani, Ila kwa mujibu wa kauli ya rais wa awamu ya tano, kuna mhimili mmoja una mizizi mirefu sana hadi mizizi hiyo inaingia kwenye mihimili mingine.