Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
🤣🤣Mwingine uganda, alikataa kula
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣Mwingine uganda, alikataa kula
Wale mawakili wakina kibatala na madeleka ina maana sio wao waliopambana duuh...Mbinu aliyoitumia kumtoa MBOWE na kina @adamo aitumie hiyo.
Slaa ndiye asiyempenda Samia, nina uhakika akisikia msaada umetoka kwa Samia atakataa kwa jinsi asivyompenda. Hapo anatamani hata afie huko Ili Samia alaumiwe........tatizo tu anaona hatokuwepo kushuhudia na kushadadia hilo na utamu wa energy ya Azam ndo cinamfanya asiombe hilo kutokea.Huo ndio uungwana, hata tusio wapenda tuwape haki na stahili zao.
Kawekwa na mahakama au raisi?Issue kubwa ni kwamba kosa wanalomtuhumu lina dhamana pia bado wanaomtuhumu hawajakamilsha ushahidi sasa kwanini bado anaendelea kukaa rumande?
Umeelewa hapo kipara cha zamani?
Eti unasemaje?Slaa ndiye asiyempenda Samia, nina uhakika akisikia msaada umetoka kwa Samia atakataa kwa jinsi asivyompenda. Hapo anatamani hata afie huko Ili Samia alaumiwe........tatizo tu anaona hatokuwepo kushuhudia na kushadadia hilo na utamu wa energy ya Azam ndo cinamfanya asiombe hilo kutokea.
Umesikia vzr tuEti unasemaje?
Aliwekwa ndani na polisi mahakama ikamtoa!MBOWE aliwekwa ndani na Mahakama au rais?
Je hukumu ilitoka kwamba upande wa utetezi uliokuwa unaongozwa na Kibatala umeshinda kesi?Wale mawakili wakina kibatala na madeleka ina maana sio wao waliopambana duuh...
Hakutolewa na Mahakama, ngoja ni attach flow nzima ya Ile kesiAliwekwa ndani na polisi mahakama ikamtoa!
Sidhani kama watakujibu hilo swali!🙂
Kuna siku dula nae ataingia kolokoloni mama nae ata feel the same painNajiuliza tu sipati jibu. Ni KWELI kuna mihimili mitatu, Dola, Mahakama na Bunge, mihimili hii haiingiliani, Ila kwa mujibu wa kauli ya rais wa awamu ya tano, kuna mhimili mmoja una mizizi mirefu sana hadi mizizi hiyo inaingia kwenye mihimili mingine.
MBOWE na kina @adamoo walipokuwa wakihenyeshwa na kesi ya ugaidi, rais aliweza kuingilia muhimili wa Mahakama na kuamuru kesi ya MBOWE na wenzake ifutwe.
Kesi ikafutwa, kituo cha kwanza cha MBOWE ikawa ni kwenda ikulu.
Mzee Slaa ana miaka 76, yuko magerezani, anasota, je mama huyu mpenda haki, ambaye ana taasisi ya kisheria ya kupania haki kwa wanyonge, anashindwaje kumtoa Slaa jela?
Slaa atoke jela, kesi yake iendelee akiwa uraiani.
Huo ndio uungwana, hata tusio wapenda tuwape haki na stahili zao.
Itafute tuone kama kuna sehemu raisi kahusika...!Hakutolewa na Mahakama, ngoja ni attach flow nzima ya Ile kesi
Huyo Dk. Slaa na uzee wake hajui muda gani wa kufunga mdomo? Na hata akiufungua hajui aongee nini? Mwache asote, after all aliishasema haogopi kufa!Najiuliza tu sipati jibu. Ni KWELI kuna mihimili mitatu, Dola, Mahakama na Bunge, mihimili hii haiingiliani, Ila kwa mujibu wa kauli ya rais wa awamu ya tano, kuna mhimili mmoja una mizizi mirefu sana hadi mizizi hiyo inaingia kwenye mihimili mingine.
MBOWE na kina @adamoo walipokuwa wakihenyeshwa na kesi ya ugaidi, rais aliweza kuingilia muhimili wa Mahakama na kuamuru kesi ya MBOWE na wenzake ifutwe.
Kesi ikafutwa, kituo cha kwanza cha MBOWE ikawa ni kwenda ikulu.
Mzee Slaa ana miaka 76, yuko magerezani, anasota, je mama huyu mpenda haki, ambaye ana taasisi ya kisheria ya kupania haki kwa wanyonge, anashindwaje kumtoa Slaa jela?
Slaa atoke jela, kesi yake iendelee akiwa uraiani.
Huo ndio uungwana, hata tusio wapenda tuwape haki na stahili zao.
Vipi aingilie mahakama?Inasikitisha sana
NIlitegemea wangempeleka mahakamani akathibitishe ili atiwe hatiani vizuri. Why Cycling?Huyo Mzee ameongea maneno yakutisha,yan sisi tuliokuwa tunamsikiliza tuliingiwa na woga,ebu tafuta video yake au sauti.
Kwa hiyo kawekwa jela ili afe?Huyo Dk. Slaa na uzee wake hajui muda gani wa kufunga mdomo? Na hata akiufungua hajui aongee nini? Mwache asote, after all aliishasema haogopi kufa!